Ndoto ya chumba chekundu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '250px|right|thumb|Mchoro wa kumwonyesha Xu Baozhuan, mnamo 1810 '''''Ndoto ya Chumba Chekundu''''' ni riwaya kutoka nchini...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[file:Traum-der-roten-Kammer.jpg|250px|right|thumb|[[Mchoro]] wa kumwonyesha [[Xu Baozhuan]], mnamo [[1810]],]]
'''''Ndoto ya Chumba Chekundu'''''
Riwaya inasimulia habari za [[familia]] ya [[kabaila|kikabaila]] ya Jia, mafanikio
Kenye [[kitovu]] cha ma[[simulizi]] iko [[hadithi]] ya Jia Baoyu anayelelewa katika [[nyumba]] ya [[wazazi]] [[tajiri|matajiri]]. Ana [[maisha]] mema bila mahangaiko kuhusu [[riziki]] zake; hahitaji kufanya [[kazi]]. Lakini haridhiki na maisha na hatimaye anaachana na dunia na kuwa [[mtawa]].
Uhusiano wake na wanawake walio muhimu maishani mwake unasimuliwa kipana. Kutokana na nafasi kubwa wanawake wanapewa riwaya hii imeitwa [[kifeministi]]. ▼
▲[[Uhusiano]] wake na [[wanawake]] walio muhimu maishani mwake unasimuliwa
Watendaji wengi wa riwaya wanaonyeshwa wakiwa vijana na hivyo kitabu hiki kilipendwa sana na vijana wa China kabla ya [[mapinduzi ya utamaduni]].▼
▲Watendaji wengi wa riwaya wanaonyeshwa wakiwa [[vijana]] na hivyo [[kitabu]] hiki kilipendwa sana na vijana wa China kabla ya [[mapinduzi ya utamaduni]].
Lugha ya ''Ndoto ya Chumba Chekundu'' ilikuwa lugha ya kawaida jinsi watu walivyosema kati yao, si lugha iliyotazamiwa kuwa sanifu wakati ule ambayo haikutumiwa katika majadiliano.▼
▲[[Lugha]] ya ''Ndoto ya Chumba Chekundu'' ilikuwa lugha ya kawaida jinsi watu walivyosema kati yao, si lugha iliyotazamiwa kuwa sanifu wakati ule ambayo haikutumiwa katika majadiliano.
==Kujisomea==
Line 27 ⟶ 29:
* Ruchang Zhou, Edited by Ronald R. Gray, Mark S. Ferrara, ''Between Noble and Humble: Cao Xueqin and the Dream of the Red Chamber''''' '''(New York: Peter Lang, 2009).''' '''Translated by Liangmei Bao and Kyongsook Park. ISBN 978-1-4331-0407-7 Google Book ([http://books.google.com/books?id=1ROFO8h-e6IC&dq=between+noble+and+humble&source=gbs_navlinks_s link])
▲==Viungo vya Nje==
* [http://faculty.vassar.edu/brvannor/StoryStone.pdf Guide to Reading "Dream of the Red Chamber."]
* [http://www.cliffsnotes.com/literature/d/dream-of-the-red-chamber/about-dream-of-the-red-chamber Zhang Xiugui, CliffsNotes]. Summary and notes.
Line 34 ⟶ 35:
*[http://www.chinadaily.com.cn/english/doc/2005-11/12/content_494366.htm Article on China Central Television Program about Red Chamber] – [[China Daily]]. Raymond Zhou. November 12, 2005.
▲[[Category:fasihi ya China]]
|