English-Swahili Dictionary (TUKI) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
online link
toleo la 3
Mstari 1:
'''KKK/ESD''' ni kifupi cha "'''Kamusi ya Kiingereza - Kiswahili'''" ''(English-Swahili Dictionary)'' iliyoandaliwa na wataalamu wa [[TUKI]] kwenye Chuo Kikuu cha [[Dar es Salaam]] na kutolewa mara ya kwanza 1996. Toleo la pili lililoongezeka na kuwa na masahihisho likatolewa mwaka 2000. Toleo la tatu likafuata mwaka 2006.
 
Kamusi hii inataja maana za [[Kiswahili]] kwa maneno zaidi ya 50,000 ya [[Kiingereza]].