Njiamzingo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 10:
Aliwaza mfano wa [[mzinga]] unaosimamishwa juu ya mlima mrefu. Mzinga huu unaweza kurusha [[risasi]] kwa mwelekeo wa [[ulalo]] tena kwa kasi mbalimbali. Athira ya msuguano wa hewa dhidi ya risasi aliacha kando au kuwaza mlima mrefu kiasi cha kufikia juu ya angahewa ya dunia.
 
*Kama mzinga unarusha risasi yake kwa velositi ndogo itaenda mbele kiasi halafu kuanguka chini '''(A)'''.
*Kama kasi au velositi inaongezwa itaanguka mbali zaidi'''(B)'''.
*Wakati kasi inaongezeka zaidi kuna hali ambako risasi inafikiahaianguki velosititena yainazunguka kutokadunia katikana gravitikumailisha obiti ya sayariduara '''(EC)'''.
 
Wakati*Kama kasi inaongezeka zaiditena kunaobiti haliinachukua umbo la [[duaradufu]]. Mahali ambako risasiobiti haiangukiiko tenakaribu inazungukana dunia ni mahali pa kufyatuliwa na kumailisha180° kinyume chake; katikati ni nukta ambako obiti yaiko duarambali na dunia. '''(CD).'''
*Wakati kasi inaongezeka zaidi kuna risasi inafikia velositi ya kutoka katika graviti ya sayari '''(E)'''.
 
Kama kasi inaongezeka tena obiti inachukua umbo la [[duaradufu]]. Mahali ambako obiti iko karibu na dunia ni mahali pa kufyatuliwa na 180° kinyume chake; katikati ni nukta ambako obiti iko mbali na dunia. (D)
 
Wakati kasi inaongezeka zaidi kuna risasi inafikia velositi ya kutoka katika graviti ya sayari (E).
 
Hali halisi makadirio ya makombora ya kurusha satelaiti na vyombo vya angani vinafuata maelezo hapo juu. Kama kombora linatikwa kubeba satelaiti kama vile satelaiti ya televisheni au ya mwawasiliano ni lazima kukadiria velositi ya [[kombora]] kulingana na uzito wake na mahali panapotakiwa kufikia angani na hivyo kupeleka satelaiti katika obiti aina ya (C) au (D).