Burundi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+picha
Mstari 52:
footnotes = <!--<sup>1</sup> Estimate is based on regression; other PPP figures are extrapolated from the latest International Comparison Programme benchmark estimates.-->
}}
[[Picha:By-map.png|thumb|250px|MapRamani ofya Burundi]]
[[Picha:Satellite image of Burundi in February 2003.jpg|thumb|Satellite image of Burundi]]
[[Picha:Bujumbura 29.36607E 3.37443S.jpg|thumb|NASA photo of Burundi]]
 
'''Jamhuri ya Burundi''' (iliyojulikana zamani kama '''Urundi''') ni nchi ndogo ambayo iko katika [[Nchi za Maziwa Makuu|eneo la Maziwa Makubwa]] ya [[Afrika]]. Burundi imepakana na [[Rwanda]] upande wa [[kaskazini]], [[Tanzania]] upande wa [[mashariki]], na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] upande wa [[magharibi]].
Line 77 ⟶ 75:
 
Matumizi ya [[ardhi]] ni kwa ajili ya [[kilimo]] au [[mifugo]]. Msongamano wa watu umesababisha kuenea kwa [[ukataji wa misitu]], [[mmomonyoko wa ardhi]] na kupotea kwa ardhi yenye [[rutuba]]<ref><nowiki>[Bermingham, Eldredge, Dick, Christopher W. and Moritz, Craig (2005). ''Tropical Rainforests: Past, Present, and Future''. Chicago, Illinois: [[University of Chicago]] Press, p. 146. ISBN 0-226-04468-8]</nowiki></ref>. Eneo la [[misitu]] lililobaki ni kilomita cha mraba 600 pekee linalopungua kwa kasi ya [[asilimia]] 9 kwa mwaka<ref><nowiki>[http://www.mongabay.com/deforestation.htm Worldwide Deforestation Rates]</nowiki> Food and Agriculture Organization of the U.N.: The State of the World's Forests 2003. Published on Mongabay.com. Retrieved on June 29, 2008.</ref>.
[[Picha:Rusizi NP hippopotamus.jpg|thumbnail|250px|Viboko kwenye hifadhi ya taifa Rusizi]]
 
Kuna hifadhi mbili za taifa ambazo ni [[Hifadhi ya Taifa ya Kibira]] kwenye kaskazini-magharibi (inapakana na [[Msitu wa Nyungwe]] huko Rwanda), na [[Hifadhi ya Taifa ya Ruvubu]] upande wa kaskazni-mashariki karibu na [[mto Rurubu]] (pia Ruvubu au Ruvuvu). Hifadhi zote mbili zilianzishwa mwaka [[1982]] kwa [[shabaha]] ya kuhifadhi [[wanyamapori]]<ref><nowiki>East, Rob (1999). ''African Antelope Database 1998''. [[Gland, Switzerland]]: [[International Union for Conservation of Nature]], p. 74. ISBN 2-8317-0477-4.</nowiki></ref>.
 
==Watu==
Idadi ya watu ni takriban milioni 10 na nusu. Asilimia 46 % kati yao hawakumaliza miaka 15, umri wa wastani ni mnamo miaka 16.7. Watoto wengi wanakufa mapema, ni kama 62 kati ya 1000 wanaozaliwa (mwaka 2007). Kwa umri wa wastani ni mnamo miaka 54 pekee. Takriban 1.2% za wananchi wana UKIMWI<ref>[http://www.undp.org/content/dam/undp/library/corporate/HDR/2014HDR/HDR-2014-English.pdf UNDP Human Development Index; wastani ya Tanzania ni miaka 64]</ref>. Wanawake wanazaa kwa wastani watoto 6, hii nafasi ya juu ya tano duniani.
[[Picha:Pyramide Burundi.PNG|thumbnail|250px|Piramidi ya umri kwa Burundi]]
 
Jamii ya Burundi ni jamii ya vijijini, ni asilima 13 pekee wanaoishi katika miji<ref>[https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/by.html World Fact Book 2008]</ref>.
 
Line 91 ⟶ 89:
==Dini==
Upande wa [[dini]], [[Wakristo]] ni 80-90% kati ya wakazi wote, hasa [[Wakatoliki]] (65%), halafu [[Waprotestanti]] (26%). [[Asilimia]] 5 wanafuata [[dini za jadi]] na 3 [[uislamu nchini Burundi|Uislamu]].
[[Picha:Burundian drummers Bujumbura 2008.JPG|250px|thumbnail|Wapiga ngoma za kijadi wa Burundi]]
 
[[Picha:Bundesarchiv Bild 105-DOA0246, Deutsch-Ostafrika, Leute des Königs Kasliwami.jpg|300px|thumbnail|Waskari wa mwami Kasliwami, mnamo mwaka 1910]]
== Historia ==
=== Ufalme wa Burundi ===
Line 112 ⟶ 111:
 
Tangu 1946 Shirikisho la Mataifa lilikwisha na Ubelgiji ilipokea wito wa kutawala Ruanda-Urundi na [[Umoja wa Mataifa]].
[[Picha:BujumburaFromCathedral.jpg|300px|thumbnail|Jiji la Bujumbura]]
 
=== Uhuru ===
Mwaka moja kabla ya uhuru kulikuwa na uchaguzi wa kwanza chini ya usimamizi ya [[UM]] na chama mshindi kilikuwa UPRONA kilichoongozwa na mwanamfalme Mtutsi [[Louis Rwagasore]] aliyemwoa [[mwanamke]] wa Kihutu na chama kiliunganisha pande zote mbili. Lakini miezi michache baadaye Rwagasore aliuawa na chama chake kilitengana kufuatana na ukabila.
Line 121 ⟶ 120:
 
Mwaka [[1966]] mwami alipinduliwa na mwanasiasa [[Michel Micombero]] aliyejitangaza kuwa rais na nchi kuwa [[jamhuri]]. Kuanzia hapo wanasiasa na watumishi wakubwa walio Wahutu walifukuzwa, kukamatwa au kuuawa.
[[Picha:Karuzi Burundi goats.jpg|300px|thumbnail|Soko la Mbuzi, Karuzi, Burundi]]
 
== Hali ya nchi kijamii na kisiasa ==
Burundi ilundwa kama ufalme ulioongozwa na Watutsi waliotawala Wahutu. Lakini kabla ya ukoloni mipaka kati ya makundi hayo haikuwa imara mno; Wahutu ma[[tajiri]] katika utumishi wa mwami waliweza kupanda ngazi na kuwa Watutsi na pia Watutsi [[maskini]] waliweza kushuka ngazi na kuhesabiwa kati ya Wahutu, hasa baada ya [[Ndoa|kuoa]] au kuolewa na mtu wa upande mwingine. Uhusiano wa makundi hayo ulifanana zaidi na ule wa [[tabaka|matabaka]] si wa makabila tofauti, pia kwa sababu lugha ilikuwa moja kwa wote.
Line 138 ⟶ 137:
 
Kipindi kilichofuata kilikuwa cha [[Vita ya wenyewe kwa wenyewe]] katika sehemu mbalimbali za nchi.
[[Picha:BujumburaAirport.jpg|300px|thumbnail|Uwanja wa Ndege, Bujumbura]]
 
Tangu mwaka [[1995]] [[Umoja wa Afrika]] na [[Umoja wa Mataifa]] zilijitahidi kujenga mapatano kati ya vikundi. Marais na [[wanasiasa]] walioshiriki katika [[jitihada]] hizo walikuwa pamoja na [[Julius Nyerere]], [[Boutros Boutros-Ghali]], [[Nelson Mandela]], [[Thabo Mbeki]] na rais wa [[Marekani]] [[Bill Clinton]].
 
Line 145 ⟶ 144:
Rais atachaguliwa na wananchi wote lakini mapatano yalisema rais wa kwanza atachaguliwa na bunge.
 
[[Picha:Pierre Nkurunziza.jpeg|250px|thumbnail|Rais Nkurunziza mwaka 2006]]
 
== Siasa ==
Mwaka 2005 uchaguzi wa kwanza wa bunge baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe ulifanyika. Chama cha CNDD-FDD kilipata kura nyingi na kiobgozi chake Pierre Nkurunziza alichaguliwa na bunge kuwa raisi wa taifa. Vyama vya UPRONA na FRODEBU vilivyotangulia kuongoza serikali ya mpito vilipata kura chache kwa sababu vilishtakiwa kuwa na rushwa na upendelo wa ndugu.