Myanmar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Jiografia: miji mikubwa
→‎Picha: utawala
Mstari 105:
 
Burma ilibadilishwa jina kuitwa "Myanmar" ikaendelea kutawaliwa na serikali ya kijeshi. Upinzani hauruhusiwi.
 
== Utawala ==
Myanmar imegawiwa kwa kusudi la utawala kwa madola 7 na mikoa 7. "Madola" ni maeneo yanayokaliwa na jumuiya na makabila ambayo ni tofauti na kundi kubwa la taifa linaloitwa ''Bamar''. Maeneo ya Bamar huitwa mikoa.
 
Madola ya jumuiya ndogo yapo zaidi karibu na mipaka ya nchi. Kwa kuanzia kwenye kusini-magharibi ni zifuatazo:
* (1) [[Dola la Rakhaing]] ''(Arakan)'' (Makao makuu: [[Akjab]])
* (2) [[Dola la Chin]] (Makao makuu: [[Hakha]])
* (3) [[Dola la Kachin]] (Makao makuu: [[Myitkyina]])
* (4) [[Dola la Shan]] (Makao makuu: [[Taunggyi]])
* (5) [[Dola la Kayah]] (Makao makuu: [[Loi-kaw]])
* (6) [[Dola la Kayin]] au ''Karen'' (Makao makuu: [[Pa-an]])
* (7) [[Dola la Mon]] (Makao makuu: [[Mawlamyaing]])
 
Halu kuna mikoa 7:
* (8) [[Mkoa wa Sagaing|Sagaing]] (Makao makuu: [[Sagaing]])
* (9) [[Mkoa wa Tanintharyi|Tanintharyi]] ''(Tenasserim)'' (Makao makuu: [[Tavoy]])
* (10) [[Mkoa wa Irawadi|Irawadi]] (Makao makuu: [[Pathein]])
* (11) [[Mkoa wa Yangon|Yangon]] (Makao makuu: Rangun)
* (12) [[Mkoa wa Bago|Bago]] (Pegu) (Makao makuu: [[Bago]])
* (13) [[Mkoa wa Magwe|Magwe]] (Makao makuu: [[Magwe]])
* (14) [[Mkoa wa Mandalay|Mandalay]] (Makao makuu: [[Mandalay]])
 
Mazingira ya mji mkuu [[Naypyidaw]] ni eneo la kitaifa la Naypyidaw.
 
Madola na mikoa imegawiwa kwa wilaya, tarafa, kata na vijiji.
 
== Picha ==