Kindonga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: +viungo vya OLAC na Glottolog using AWB
No edit summary
Mstari 1:
'''Kindonga''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Namibia]] na [[Angola]] inayozungumzwa na [[Wandonga]]. Mwaka wa 20002006 idadi ya wasemaji wa Kindonga nchini Namibia imehesabiwa kuwa watu 807,000. Pia kuna wasemaji 263,000 nchini Angola (2000) lakini inawezekana hawa wamehesabiwa pamoja na [[Wakwanyama]] na [[Wakwambi]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kindonga iko katika kundi la R20.
 
==Viungo vya nje==
Mstari 11:
 
{{DEFAULTSORT:Ndonga}}
[[Jamii:Lugha za Namibia]]
[[Jamii:Lugha za Angola]]
[[Jamii:Lugha za Kibantu]]