Nuktambili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:Q177449
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Colon (punctuation).svg|thumb|80px|right|Colon]]
'''Nuktambili''' au '''nukta pachpacha'''a ni alama ya kisarufi. Ina [[nukta]] mbili zinazokaa moja juu ya nyingine ('''<big>:</big>'''). Inatumiwa katika [[sentensi]] kudokeza ya kwamba yale yanayofuata ni maneno kamili ya msemaji au [[nukuu]]. Menginevyo kuashiria yale yanayofuata kama ni mfano, orodha n.k.