Maporomoko ya maji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Maporomoko ya maji.png|350px|thumbnail|<small>Maporomoko ya maji: mabadiliko yake kama yanatelemka penye mwamba mgumu juu na laini chini; maji kwenye dimbwi ya chini hukizingia na kuharakisha mmomonyoko</small>]]
[[Picha:Victoria Falls (2541711854).jpg|300px200px|thumbnail|<small>[[Maporomoko ya Viktoria]] mpakani wa Zambia na Zimbabwe ni kati ya maporomoko mazuri na mashuhuri zaidi duniani</small>]]
[[Picha:Niagara falls aerial.id.jpg|200px|thumbnail|<small>[[Maporomoko ya Niagara]] huko Marekani</small>]]
'''Maporomoko ya maji''' ni mahali ambako maji ya yanatelemka juu ya kona kwenye mtelemko na kuelekea chini. Kwa kawaida ni sehemu ya njia ya [[mto]] au kijito pale ambako maji yanatelemka juu ya ukingo wa [[mwamba]]. Lakini inaweza kutokea pia kwenye ukingo wa [[barafuto]] pale ambako maji ya myeyuko yanatelemka.
 
== Kutokea na kubadilika kwa maporomoko ya maji ==
Maporomoko ya maji hutokea kwa kawaida katika sehemu za juu ya njia ya mto. Hapa mtelemko kwa jumla ni mkubwa zaidi na mwendo wa maji haraka zaidi. Kwa hiyo nguvu ya maji ni kubwa zaidi kiasi inaweza kuchimba lalio hadi imekuwa mfereji kama korongo mrefu.
 
Line 9 ⟶ 11:
 
Kwa njia hii ukingo wa maporomoko unarudi nyuma na kurudisha njia ya korongo nyuma. Kasi ya harakati inategemea na tabia za mwamba unaopatikana. Kuna maporomoko yanayorudi nyuma mita na nusu kila mwaka.
 
Baada ya muda wa kutosha (wakati mwingine miaka mamillioni) nguvu ya maji umeondoa mwamba wa kutosha hali hakuna maporomoko tena na ngazi katika njia imekuwa mtelemko tu.
 
 
<gallery>
Rheinfall 001.ogg|Video ya ya maporomoko ya [[mto Rhine]] huko [[Uswisi]]
Cascata caracol2.jpg|Maporomoko ya mto [[Caracol (Rio Grande do Sul)|Caracol]], [[Brazil]]
boti.png|Maporomoko ya Boti, [[Ghana]]
Madeira nordküste wasserfall brautschleier 5-2007.jpg|Maporomoko yanatelemka kwenye Atlantiki (Madeira, Hispania)
Blackwaterfalls west virginia 482992525.jpg|Black Waterfalls, [[West Virginia]]
Purakaunui.jpg|Purakaunui Falls, Newzealand
Dettifoss 6334.JPG|[[Dettifoss]], [[Iceland]]
Kreealmwasserfall Grossarltal.JPG|Maporomoko ya Kreealmwasserfall, Austria
Cascada de agua azul 23.jpg|[[Cataratas de Agua Azul|Agua Azul]] in [[Chiapas]]
</gallery>
 
 
[[jamii:mito]]