Mizimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
umbo tu, makala dhaifu
Mstari 1:
'''Mizimu''' hai ni roho (chanya) zilizoishi vyema katika miili duniani, kuiaga dunia na baadae kupewa tuzo au majukumu mapya na Muumba. inaaminikaInaaminika kuwa Mizimumizimu hai ina faida duniani na ina uwezo wa kuwasiliana na watu kutumia njia mbalmbalimbalimbali kufatana na mazingira au tamaduni za watu au taifa.
 
Katika dini ya [[Roman Catholic]] Mizimu hai huitwa Watakatifu.
 
Kuna tofauti kati ya Mizimu na vizimu; vizimu ni roho za binadamu (hasi) ambao hawakupata majukumu mapya baada ya kuiaga dunia kwa sababu ya kutotimiza majukumu yao au kufanya kinyume wakati wapo duniani.
 
Mizimu hai yenye mawasiliano ni kitovu cha Utamawazo (mawazo shirika ndani ya jamii).
 
Utamawazo huunda endelezi ya tabia na tamaduni za [[kabila]] au taifa. Roho zenye endelezi chanya baada ya kuiaga dunia hujulikana pia kama Mizimu hai.
 
 
[[Jamii:dini]]