Mizimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
umbo tu, makala dhaifu
No edit summary
Mstari 1:
'''Mizimu''' ni [[roho]] zilizoishi katika [[mwili]] kabla ya kuiaga [[dunia]].
'''Mizimu''' hai ni roho (chanya) zilizoishi vyema katika miili duniani, kuiaga dunia na baadae kupewa tuzo au majukumu mapya na Muumba. Inaaminika kuwa mizimu hai ina faida duniani na ina uwezo wa kuwasiliana na watu kutumia njia mbalimbali kufatana na mazingira au tamaduni za watu au taifa.
 
Katika baadhi ya [[dini]] na [[mila]] inaaminika kuwa mizimu inaweza kuwa na [[faida]] kwa watu waliopo duniani na ina uwezo wa kuwasiliana nao kwa kutumia njia mbalimbali kufuatana na [[mazingira]] au [[utamaduni]].
Katika dini ya [[Roman Catholic]] Mizimu hai huitwa Watakatifu.
 
Katika [[Kanisa Katoliki]] na baadhi ya [[madhehebu]] mengine, mizimu inaweza kuwa ya [[watakatifu]].
Kuna tofauti kati ya Mizimu na vizimu; vizimu ni roho za binadamu (hasi) ambao hawakupata majukumu mapya baada ya kuiaga dunia kwa sababu ya kutotimiza majukumu yao au kufanya kinyume wakati wapo duniani.
 
Kuna tofauti kati ya Mizimu na vizimumizimu; vizimupengine ni roho za [[binadamu (hasi)]] ambao hawakupata majukumu mapya baada ya kuiaga dunia kwa sababu ya kutotimizahawakutimiza majukumu yao au kufanyawalifanya kinyume wakati wapo duniani.
Mizimu hai yenye mawasiliano ni kitovu cha Utamawazo (mawazo shirika ndani ya jamii).
 
{{mbegu-dini}}
Utamawazo huunda endelezi ya tabia na tamaduni za [[kabila]] au taifa. Roho zenye endelezi chanya baada ya kuiaga dunia hujulikana pia kama Mizimu hai.
 
[[Jamii:diniDini]]
 
[[Jamii:dini]]