Karne ya 19 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q6955 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 14:
Baadhi ya tabia za pekee za karne hii ni kama zifuatazo:
* '''[[Mapinduzi ya viwandani]]''': yaliwahi kuota mizizi katika [[Uingereza]] kabla ya 1800, lakini katika karne hii yalienea katika nchi za Ulaya na kuzitofautisha kwa uwezo wao
* Nchi zilizopita katika mapinduzi ya viwandani ziliongezekaziliongezewa nguvu za kiuchumi na za kijeshi kushinda mataifama[[taifa]] nje ya mapinduzi haya
* Mtindo wa [[ubepari]] ulipata umuhimu na kugusa maisha ya watu wengi
** Tabaka jipya la wanafanyakazi[[wafanyakazi]] lilijitokeza
** Tabaka la makabailama[[kabaila]] lilipungukiwa umuhimu wake katika jamii za nchi zilizoshiriki katika mapinduzi ya viwandani
 
* Maisha ya viwandani na maisha ya mjini yalivunja nguvu ya maisha ya mashambani hivyo [[mapokeo]] na [[desturi]] nyingi zilizowahi kuendeleazilizoendelea tangu karne nyingi
 
* matunda ya '''fikra za [[falsafa ya mwangaza]]''' yalisababisha
** kutokea kwa [[sayansi]] ya kisasa
** [[ukosoaji wa dini]]
 
* '''Idadi ya watu duniani ilianza kukua''' haraka kushinda miaka yote ya [[historia]] ya awali kwa sababu ya
** matokeo ya [[teknolojia]] na [[sayansi]] yaliongeza kiasi cha [[chakula]] kilichopatikana kwa watu
** sayansi ya [[tiba]] iligundua njia za kupambana na magonjwa[[ugonjwa]]
* Nchi kadhaa za Ulaya zilitumia nguvu mpya ya kueneza utawala wao nje ya Ulaya
Mstari 38:
 
* Katika siasa madola kadhaa yaliyowahi kuratibu maisha ya watu tangu karne nyingi yalipungukiwa, kuvunjwa au kupotea kabisa kama vile:
** [[Dola takatifuTakatifu la Kiroma]] la ([[Ujerumani]]) katika [[Ulaya ya Kati]]
** Dola la [[Moghul]] katika [[Bara Hindi]]
** Dola la Uturuki ([[Uturuki]], [[Afrika ya Kaskazini]], [[Asia ya Magharibi]])
** Dola la Hispania ([[Hispania]], [[Amerika ya Kusini]] na [[Ufilipino]])
* Dola la Uingereza lilitokea kuwa dola kubwa duniani
* [[Utumwa]] ulipungua sana duniani
* [[Ukristo]] ulienea upya nje ya Ulaya kwa njia ya [[misheni]] yaza kisasa baada ya kurudishwa nyuma na [[Uislamu]] tangu [[karne ya 7]]
* Huko [[Manchester]] ilianzishwa [[International Football Association Board]], iliyoratibu sheria za [[kandanda]] ([[1882]])
* [[Mfereji wa Suez]] unatenganishaulitenganisha [[Afrika]] na [[Asia]]
* [[Uhamiaji]] wa umati wa watu katika nchi nyingine
* Mwanzo wa [[ujamaa]] na [[ukomunisti]]
* [[Papa Pius IX]] na [[Mtaguso wa kwanza wa Vatikano]]
* [[Ludwig van Beethoven]], [[Frédéric Chopin]], [[Richard Wagner]] ena [[Franz Liszt]], wanamuziki
* [[Louis Pasteur]], [[mwanasayansi]]
* [[Guglielmo Marconi]], aliyebuni [[redio]]
* [[Malkia Viktoria]] wa [[Uingereza]]
* [[Otto von Bismarck]], [[Kansela]] wa [[UJerumaniUjerumani]]
* [[Ndugu Lumière]], waliobuni [[sinema]]
* [[Abraham Lincoln]], [[rais]] wa [[Marekani]] aliyefuta utumwa nchini
* [[Charles Darwin]] ([[1809]] - [[1882]]), Mwingereza mwanasayansi
* [[George Stephenson]] aliyebuni [[treni]]