Burundi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 152:
[[Picha:Pierre Nkurunziza.jpeg|250px|thumbnail|Rais Nkurunziza mwaka 2006]]
== Siasa ==
Mwaka 2005 uchaguzi wa kwanza wa bunge baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe ulifanyika. Chama cha CNDD-FDD kilipata kura nyingi na kiobgozikiongozi chake Pierre Nkurunziza alichaguliwa na bunge kuwa raisi rais wa taifa. Vyama vya UPRONA na FRODEBU vilivyotangulia kuongoza serikali ya mpito vilipata kura chache kwa sababu vilishtakiwa kuwa na [[rushwa]] na upendelo[[upendeleo]] wa ndugukindugu.
 
[[Chama tawala]] kinajaribu kufuata siasa ya mapatano ya ndani, lakini ina [[uvumilivu]] mdogo tu kwa upinzani na mawazo yanayopinga siasa yake.
 
Mwezi wa Aprili [[2009]] chama cha Palipehutu FNL hatimaye ilisimamishwakilisimamisha upinzani kwa silaha kikakubaliwa kama chama cha kisiasa cha FNL.
 
Nkurunziza alichaguliwa tena katikakwa urakura ya wananchi wote mwaka 2010. wiedergewählt. Chama cha upinzani FNL kilikataa kukubali ushindi wa CNDD-FDD.
 
Mwaka 2015 raisirais Nkurunziza alipendkezwaalipendekezwa kugombea tena uraisiurais katika uchaguzi akakubali. Hatua hiihiyo ilisababisha upnzaniupinzani mkali wa wanachiwananchi walioandamana wakiona hii inavunainavunja mapatano ya amani ya Arusha.
Tarehe 13 Mei jenerali Godefroid Niyombare alitangaza kufukuzwa kwa Nkurunziza kutoka uraisiurais wakati huyuhuyo alikuwa safarini Tanzania, lakini hakufaulu. Uasi huu wa kijeshi ulikandamizwa. NkurunzitaNkurunziza alirudi na kutangaza ya kwamba kura inatakiwa kufanyikiwakufanyika jinsi ilivyopangwa tarehe 26 Mei 2015 kwa bunge na 26 Juni kwa uraisi.
 
Taasisi ya kimataifa na nchi jirani walitamka wasiwasi kuhusu mwelekeo wa hali ya kisiasa katika Burundi. [[Nkosazana Dlamini-Zuma]], mwenyekiti wa kamati tendaji ya [[Umoja wa Afrika]], aliomba kuahirishwa kwa kura ncininchini Burundi hadi hali iwe imetulia.
 
== Utawala ==