Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
nyongeza kiingilio
Mstari 1:
[[Picha:The Blue Marble.jpg|thumbnail|260px|Ardhi]]
'''Dunia''' (wakati mwingine pia: '''ardhi''') ni [[gimba la angani]] tunapoishi. Ni mojawapo ya [[sayari]] zinazotembea katika [[anga]] la ulimwengu|anga ya [[ulimwengu]]. Kuna sayari nane zinazolizunguka [[jua]], dunia yetu ikiwa sayari ya tatu katika [[mfumo wa jua na sayari zake]]. Masafa baina yake na jua ni kilomita milioni 150 au [[kizio astronomia]] 1. Dunia huchukua siku 365.256 kulizunguka jua, na masaa 23.9345 kuuzunguka mhimili wake na upana wake ni kilomita 12,756. Dunia huwa na [[mwezi (gimba la angani)|mwezi]] 1.
 
Umri wa dunia hukadiriwa kuwa miaka bilioni 4.5<ref><nowiki>[http://sp.lyellcollection.org/content/190/1/205.abstract G. Brent Dalrymple: The age of the Earth in the twentieth century: a problem (mostly) solved, The Geological Society of London 2001]</nowiki>
Dunia huwa na [[mwezi (gimba la angani)|mwezi]] 1.
</ref><ref>[http://www.talkorigins.org/faqs/faq-age-of-earth.html Chris Stassen, The Age of the Earth, (The Talk Origins Archive, 2005) </ref>. Ni mahali pa pekee katika [[ulimwengu]] panapojulikana kuna [[uhai]] ulioaminiwa kuanza miaka bilioni 3.5 iliyopita<ref>Schopf, JW, Kudryavtsev, AB, Czaja, AD, and Tripathi, AB. (2007). ''Evidence of Archean life: Stromatolites and microfossils.'' Precambrian Research 158:141–155.</ref>. Uhai unapatikana kwa spishi milioni 10-14 za viumbehai pamoja na wanadamu waliokadiriwa kuwa bilioni 7.2<ref>http://www.worldometers.info/world-population/</ref>.
 
== Muundo wa dunia ==