Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza kiingilio
Umbo la dunia
Mstari 1:
[[Picha:The Blue Marble rotating 1024x1024.jpgogg|thumbnail|260px|ArdhiDunia yetu <small>(bofya pembetatu)</small>]]
'''Dunia''' (wakati mwingine pia: '''ardhi''') ni [[gimba la angani]] tunapoishi. Ni mojawapo ya [[sayari]] zinazotembea katika [[anga la ulimwengu|anga ya ulimwengu]]. Kuna sayari nane zinazolizunguka [[jua]], dunia yetu ikiwa sayari ya tatu katika [[mfumo wa jua na sayari zake]]. Masafa baina yake na jua ni kilomita milioni 150 au [[kizio astronomia]] 1. Dunia huchukua siku 365.256 kulizunguka jua, na masaa 23.9345 kuuzunguka mhimili wake na upana wake ni kilomita 12,756. Dunia huwa na [[mwezi (gimba la angani)|mwezi]] 1.
 
Umri wa dunia hukadiriwa kuwa miaka bilioni 4.5<ref><nowiki>[http://sp.lyellcollection.org/content/190/1/205.abstract G. Brent Dalrymple: The age of the Earth in the twentieth century: a problem (mostly) solved, The Geological Society of London 2001]</nowiki>
</ref><ref>[http://www.talkorigins.org/faqs/faq-age-of-earth.html Chris Stassen, The Age of the Earth, (The Talk Origins Archive, 2005) </ref>. Ni mahali pa pekee katika [[ulimwengu]] panapojulikana kuna [[uhai]] ulioaminiwa kuanza miaka bilioni 3.5 iliyopita<ref>Schopf, JW, Kudryavtsev, AB, Czaja, AD, and Tripathi, AB. (2007). ''Evidence of Archean life: Stromatolites and microfossils.'' Precambrian Research 158:141–155.</ref>. Uhai unapatikana kwa spishi milioni 10-14 za viumbehai pamoja na wanadamu waliokadiriwa kuwa bilioni 7.2<ref>http://www.worldometers.info/world-population/</ref>.
 
== Umbo la dunia ==
[[Picha:Earth's Axis (small).gif|thumbnail|Dunia jinsi inavyozunguka kwenye mstari wa mhimili wake]]
Umbo la dunia inafanana na [[tufe]] au mpira inayozunguka kwenye mhimili wake. "Mhimili wa dunia" ni mstari kati ya [[ncha]] zake. Lakini si tufe kamili. Ina uvimbe kidogo kwenye sehemu ya [[ikweta]]; ilhali umbali kati ya ncha mbili ni [[kilomita]] 12,713 lakini umbali kati ya sehemu za kinyume kwenye ikweta ni 12,756 km yaani kipenyo hiki kinazidi takriban kilomita 43 kipenyo kati ya ncha na ncha. Tofauti hii inasababishwa na mzunguko wa dunia. [[Kani nje]] inasukuma sehemu za ikweta nje zaidi. Kwa hiyo mahali duniani palipo karibu zaidi kwa anga la nje si [[Mlima Everest]] kwenye [[Himalaya]] bali [[mlima Chimborazo]] nchini [[Ekuador]].<ref>[http://www.npr.org/templates/story/story.php?storyId=9428163 Robert Krulwitch, The 'Highest' Spot on Earth?] Mlima Everest ni mlima mrefu duniani mwenye kimo cha juu ya uwiano wa bahari; lakini Chimborazo (mita 6,268 [[juu ya UB]]) iko karibu na ikweta hivyo msingi wake uko juu ya uvimbe wa ikweta kwa hiyo ni mahali ambako ni mbali zaidi na kitovu cha dunia na karibu zaidi kwa mwezi! </ref>
 
 
== Muundo wa dunia ==
:''- taz. makala "[[Muundo wa dunia]]" -''
[[Picha:Jordens inre.svg|thumbnail|right|240px|Tabaka za ganda la dunia]]
 
Muundo wa dunia yetu ni ya tabaka mbalimbali zinazofuatana kutoka nje kwenda ndani. Kila moja ina tabia yake.
{| {{mezamaridadi}}