Muundo wa dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+ maelezo
Mstari 1:
[[Image:Dunia muundo.png|thumb|300px|Tabaka kwenye muundo wa dunia]]
 
'''Muundo wa dunia''' niunafanana kamana tufe kubwa yenye [[rediasi]] ya 6370 [[km]] kwa wastani<ref>Umbo la dunia si tufe kamili. TufeKipenyo chake kati ya sehemu za kinyume cha ikweta kinazidi umbali kati ya ncha ya kaskazini na ncha ya kusini kwa kilomita 43. Tofauti hii inatokana na [[kani nje]] inayosababisha uvimbe kwenye mzingo wa ikweta.</ref>. Tufe la [[dunia]] yetu imeundwa na tabaka mbalimbali. Sayansi ina njia mbalimbali kuzitofautisha kufuatana na tabia zao.
 
==Ganda, koti, kiini==
Mstari 41:
Kiini cha ndani ni sehemu yenye joto kushinda yote duniani. Kiwango cha halijoto kinapita 5,000 °C. Lakini chuma kinaaminiwa kuwa imara si kiowevu kwa sababu ya shindikizo kubwa.
 
==Marejeo==
<references/>
 
[[Category:jiolojia]]
[[Category:dunia]]