Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 18:
== Muundo wa dunia ==
:''- taz. makala "[[Muundo wa dunia]]" -''
[[Picha:JordensDunia inremuundo.svgpng|thumbnail|right|240px|Tabaka zazilizopo gandakatika lamuundo wa dunia]]
Tumeona dunia ina umbo la viringo au tufe. Tufe hili si kipande kimoja kikubwa cha mwamba thabiti. Dunia ina muundo ndani yake. Muundo wahuu unafanana kiasi na kitunguu yaani dunia yetu niimefanyika yakwa tabaka mbalimbali zinazofuatana kutoka nje kwenda ndani. Kila moja ina tabia yake. Kimsingi wataalamu hutofautisha tabaka tatuambazotatu ambazo ni:
 
Muundo wa dunia yetu ni ya tabaka mbalimbali zinazofuatana kutoka nje kwenda ndani. Kila moja ina tabia yake. Kimsingi wataalamu hutofautisha tabaka tatuambazo ni:
*Ganda la dunia
*Koti ya dunia
Line 27 ⟶ 26:
Ganda la dunia ni sehemu imara na uhai wote tunaojua unapatikana juu yake. Katikati hali ya koti na kiini ni ya joto kubwa sana na mada yake hupatikana katika hali ya gilgili (si imara, kuyeyushwa). Kila ukiingia ndani dunia inazidi kuwa moto mpaka ukifika ndani kabisa daraja ya harara hufikia nyuzi 5000-6000 °C.
 
Tabaka hizi zinafanywa kwa elemntielementi za kikemia ambazo ni [[feri (chuma)]] (32,1 %), [[oksijeni]] (30,1 %), [[silisi]] (15,1 %), [[magnesi]] (13,9 %), [[sulfuri]] (2,9 %), [[nikeli]] (1,8 %), [[kalsi]] (1,5 %) na [[alumini]] (1,4 %). Mabaki ya 1,2 % ni viwango vidogo vya elementi nyingine. Elementi hizi zinapatikana kwa hali safi au katika [[kampaundi]] za elementi.
 
Vipimo vimeonyesha ya kwamba tabaka mbili za koti na kiini huwa tena na mgawanyo ndani yake hivyo tabaka zifuatazo zinaweza kutofautishwa.