Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 51:
 
== Uga sumaku wa dunia ==
[[Picha:MagnetosphereKinga renditionya uga sumaku wa dunia.jpgpng|450px|thumbnail|Mnururisho unavyotoka kwenye jua na kugengeushwa na mistari ya nguvu ya sumaku ya uga sumaku wa dunia]]
Dunia inazungukwa na [[uga sumaku]] yaani mistari ya nguvu ya [[kisumaku]]. Sababu yake ni ya kwamba [[kiini cha dunia]] inafanywa na [[chuma]] chenye tabia kama [[sumaku]] kubwa. Tabia hii inasababishwa na mwendo wa mikondo ya chuma cha moto kilichoyeyuka katika kiini cha nje cha dunia. Mistari ya nguvu ya sumaku inatoka nje kwenye ncha ya kusini na kurudi ndani ya dunia kwenye ncha ya kaskazini. Tabia hii ni msingi kwa kazi ya dira ambako sindano ya dira huvutwa daima na ncha sumaku ya dunia na kuelekea kaskazini muda wote.