Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kuondoa matini iliyokuwepo mara bili
Mstari 55:
 
Uga sumaku wa dunia ni kinga muhimu kwa uhai wote duniani. Dunia inapoke muda wote na mnururisho kutoa jua. Mnururisho uo ni nuru pamoja miale ya hatari. Uga sumaku unakengeusha sehemu kubwa ya mnururisho hatari hadi unapita kando la dunia na kutofika kwenye uso wa dunia.
 
== Dunia kama mahali pa maisha ==
Dunia yetu ni sayari pekee inayojulikana mpaka sasa ambapo binadamu na viumbe vingine vinaweza kuishi. Hapa kuna sababu mbili
# dunia yetu ina umbali na jua unaofaa kwa maisha kwa sababu sayari zilizoko karibu zaidi na jua (k.m. [[Zuhura]]) zina joto kubwa mno na sayari zilizoko mbali zaidi kama [[Mrihi]] ni baridi mno.
# dunia yetu ina [[angahewa]] yenye asilimia 78 ya [[naitrojini]], asilimia 21 ya [[oksijini]] na asilimia 1 ya aina nyenginezo za hewa, na kwa sababu hii uhai na maisha yanamakinika katika ardhi, kinyume na sayari nyenginezo.
 
== Dunia kama mahali pa maisha ==