Angahewa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 21:
 
==Angahewa kwenye sayari==
Nje ya dunia yetu angahewa imetambuliwa pia kwenye sayari nyiginenyingine. Katika [[mfumo wa jua na sayari zake]] kuna sayari 4 za ndani zinazofanana kiasi, ni [[Utaridi]](Mercury), [[Zuhura]] (Venus), Dunia na [[Mirihi]] (Mars). Zote nne ni sayari zinazofanywa na mwamba.
 
*Kati ya hizi Utaridi haina angahewa, ikiaminiwa yote imepotea kutokana na kupigwa vikali na [[upepo wa jua]] lililo karibu na sayari hii.
*Zuhura ina angahewa nzito, hasa ya [[dioksidi kabonia]] (CO<sup>2</sup> )
*[[Mirihi]] na angahewa hafifu sana ya dioksidi kabonia (CO<sup>2</sup>). Inaaminiwa kuwa imepotea asilimia kubwa ya angahewa yake. InaaminiwaMirihi sababuhaina yake[[uga sumaku]] na hivyo upepo wa jua unapiga sayari hii moja kwa moja na kusukuma molekyuli za angahewa mbali kwenda [[anga la nje]].
Sayari kubwa za nje kama [[Mshtarii]] (Jupiter) na [[Zohari]] (Saturn) si rahisi vile kuofautisha kati ya sayari yenyewe na angahewa yake. Sayari hizi huitwa pia "jitu za gesi" kwa sababu asilimia kubwa ya sayari yote ni elementi kama [[hidrojeni]] na [[heli]] ambazo kwetu duniani zinapatikana kama gesi. Kutokana na umbali mkubwa na jua ni baridi zaidi hadi gesi izi kupitia katika hali mango. Vilevile hidrojeni katika kiini cha Mshtarii inaaminiwa kuwa katika hali metalia kutokana na sinikizo kubwa ya masi yake.
Kuna miezi kadhaa zinazunguka sayari za jua ambako angahewa zimegundliwa, kwa mfano kwa mwezi [[Titan]] wa Zoai na miezi ya Europa na Ganymed ya Mshtarii.
 
== Viungo vya Nje ==