Dhambi ya asili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
{{mergefrom}}
No edit summary
Mstari 1:
'''Dhambi ya asili''' (au '''dhambi asili''') ni jinsi [[Wakristo]] wa [[madhehebu]] mbalimbali wanaitawanavyoita hivyo [[dhambi]] ya kwanza ya watu ambayo imekuwa [[asili]] ya dhambi zote ([[Rom]] 5:12) na ya uharibu[[uharibifu]] wa [[tabia]] ya [[binadamu]] na ya [[dunia]] kwa jumla (Rom 8:19-25).
{{mergefrom|Tabia ya asili}}
Wakristo wa madhehebu mbalimbali wanaita hivyo [[dhambi]] ya kwanza ya watu ambayo imekuwa asili ya dhambi zote (Rom 5:12) na ya uharibu wa dunia (Rom 8:19-25).
 
== Dhambi ya Asiliasili katika Biblia ==
[[Picha:Forbidden fruit.jpg|thumb|300px|[[Michelangelo]] alivyochora katika kuta za [[Cappella Sistina]] huko [[Vatikano]] [[dhambi]] ya [[Adamu na Eva]] na [[adhabu]] iliyofuata ya kufukuzwa bustanini[[bustani]]ni.]]
 
[[Kitabu cha Mwanzo]] sura ya 3 inasimulia dhambi hiyo. Kwa njia ya [[hadithi]] hiyo tunaambiwa hali yetu mbaya ya binadamu haitokani na [[Mungu]] moja kwa moja, bali na [[uasi]] wetu na wa wazee wetu ([[Hek]] 2:23-24). Pia tunafundishwa kukataa toka mwanzo [[kishawishi|vishawishi]] vyetu tukiamini maagizoma[[agizo]] yote ya Mungu yametolewa naye kwa [[upendo]] mkuu.
 
[[Shetani]] ndiye aliyeanzisha [[kishawishi]]. [[Eva]] alipaswa asimsikilize. Kosa lake la kwanza ni kumjibu: hivyo shetani akamdanganya kwamba, eti Mungu ana [[kijicho]], hataki watu walingane naye, ndiyo sababu aliwakataza ([[Yoh]] 8:44). Tukianza kuzingatia kishawishi tunakubali shaka juu ya wema wa Mungu kwetu katika kutuelekeza. Kwa namna hiyo walianguka watu wa kwanza waliokuwa watakatifu; kwa urahisi zaidi tutaanguka sisi wenye tabia mbaya kutokana na dhambi hiyo na nyingine nyingi.
Line 26 ⟶ 25:
 
Hata hivyo ongezeko la dhambi likasababisha maisha ya binadamu yafupike (Mwa 6:3) kwa kuwa ni kusogea mbali na Mungu, chemchemi ya uhai.
 
{{mergefrom|==Tabia ya asili}}==
Katika tafsiri za Biblia kwa [[Kiswahili]] tunakuta msamiati "Tabia ya asili" kwa maana ya [[tabia]] ambayo [[mwanadamu]] amezaliwa nayo kutokana na [[dhambi]]. Ni kwamba [[mwanadamu]] amekuwa na tabia ya kutenda mambo kinyume cha agizo la [[Mungu]]: kila mmoja huzaliwa na hiyo tabia ya [[uovu]].
 
{{mbegu-dini}}
 
[[Jamii:Dini]]