Dunia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 29:
Kwa pamoja maeneo ya maji hufunika 70.7% za uso wa dunia. Nchi kavu huwa na 29.3% na sehemu kubwa ya eneo la nchi kavu ni bara 7 za [[Asia]], [[Afrika]], [[Amerika Kaskazini]], [[Amerika Kusini]], [[Antarktika]], [[Ulaya]] na [[Australia]]. (Ulaya inaweza kuangaliwa pia kama sehemu ya Asia ikiwa kama [[rasi]] yake ya magharibi. Azimio la kutazama Australia kama bara na [[Greenland]] kama [[kisiwa]] tu ni azimio la hiari si la lazima).
Maeneo ya bahari kuu ya dunia kwa kawaida hugawiwa kwa bahari kubwa 3 za [[Pasifiki]], [[Atlantiki]] na [[Bahari Hindi]]. Sehemu ya chini baharini iko kwenye [[Mfereji
== Muundo wa dunia ==
:''- taz. makala "[[Muundo wa dunia]]" -''
[[Picha:Dunia muundo.png|thumbnail|right|240px|
Tumeona dunia ina umbo la
*Ganda la dunia▼
*Koti ya dunia▼
*Kiini cha dunia▼
Kimsingi [[wataalamu]] hutofautisha matabaka matatu ambayo ni:
Ganda la dunia ni sehemu imara na uhai wote tunaojua unapatikana juu yake. Katikati hali ya koti na kiini ni ya joto kubwa sana na mada yake hupatikana katika hali ya gilgili (si imara, kuyeyushwa). Kila ukiingia ndani dunia inazidi kuwa moto mpaka ukifika ndani kabisa daraja ya harara hufikia nyuzi 5000-6000 °C.▼
▲*[[Ganda la dunia]]
▲*[[Kiini cha dunia]]
▲Ganda la dunia ni sehemu imara na uhai wote
Matabaka haya yanafanywa kwa [[elementi]] za kikemia ambazo ni [[feri (chuma)]] (32,1 %), [[oksijeni]] (30,1 %), [[silisi]] (15,1 %), [[magnesi]] (13,9 %), [[sulfuri]] (2,9 %), [[nikeli]] (1,8 %), [[kalsi]] (1,5 %) na [[alumini]] (1,4 %). Mabaki ya 1,2 % ni viwango vidogo vya elementi nyingine. Elementi hizi zinapatikana kwa hali safi au katika [[kampaundi]] za elementi. ▼
▲Matabaka
Vipimo vimeonyesha ya kwamba tabaka mbili za koti na kiini huwa tena na mgawanyo ndani yao hivyo matabaka yafuatayo yanaweza kutofautishwa. ▼
▲Vipimo vimeonyesha ya kwamba
{| {{mezamaridadi}}
Line 51 ⟶ 53:
| Ganda la nje || 0 - 40
|-
| Koti
|-
| Koti
|-
| Koti
|-
| Kiini cha nje || 2900 - 5100
Line 63 ⟶ 65:
|}
Sehemu ya juu ya koti inafanana kikemia na ganda na sehemu
Tabakamwamba imekatika katika vipande vinavyoitwa [[mabamba la gandunia]]. Vipande hivi vinaelea juu ya giligili ya koti Pale ambako mabamba yanapakana, [[volkeno]] nyingi zinapatikana na [[matetemeko ya ardhi]] hutokea. == Uga sumaku wa dunia ==
[[Picha:Uga sumaku unakinga dunia.png|450px|thumbnail|[[Mnururisho]] unavyotoka kwenye jua na
Dunia inazungukwa na [[uga sumaku]] yaani mistari ya nguvu ya [[kisumaku]]. Sababu yake ni
Tabia hiyo inasababishwa na mwendo wa mikondo ya chuma cha moto kilichoyeyuka katika kiini cha nje cha dunia. Mistari ya nguvu ya sumaku inatoka nje kwenye ncha ya kusini na kurudi ndani ya dunia kwenye ncha ya kaskazini. Tabia hiyo ni msingi wa kazi ya [[dira]] ambamo sindano ya dira huvutwa daima na ncha sumaku ya dunia na kuelekea kaskazini muda wote.
Uga sumaku wa dunia ni kinga muhimu kwa uhai wote duniani. Dunia inapigwa muda wote na mnururisho kutoa jua kwa njia ya "[[upepo wa jua]]". Mnururisho huo ni nuru pamoja miale ya hatari. Uga sumaku unakengeusha sehemu kubwa ya mnururisho hatari hadi unapita kando la dunia na kutofika kwenye uso wa dunia.▼
▲Uga sumaku wa dunia ni [[kinga]] muhimu kwa uhai wote duniani. Dunia inapigwa muda wote na [[mnururisho]]
== Dunia kama mahali pa maisha ==▼
Dunia yetu ni sayari pekee inayojulikana mpaka sasa ambapo binadamu na viumbe vingine vinaweza kuishi. Hapa kuna sababu mbili
# dunia yetu ina umbali na jua unaofaa kwa maisha kwa sababu sayari zilizoko karibu zaidi na jua (k.m. [[Zuhura]]) zina joto kubwa mno na sayari zilizoko mbali zaidi kama [[Mrihi]] ni baridi mno.
# dunia yetu ina [[angahewa]] yenye asilimia 78 ya [[naitrojini]], asilimia 21 ya [[oksijini]] na asilimia 1 ya aina
== Uso wa dunia ==
Sehemu kubwa kabisa ya dunia inafunikwa na [[bahari]], kwani takriban asilimia 70 ya uso wake unafunikwa na [[maji ya bahari]] na kutokana na maji yote yaliyokuwepo ardhini, asilimia 97 ni maji ya bahari, na asilimia 3 ni [[maji matamu]]. [[Theluthi]] inayobaki ni nchi kavu kwenye [[mabara]] mbalimali na visiwa vingi.
Sura ya dunia ni kilomita mraba 510,066,000
{| {{mezamaridadi}}
Line 100 ⟶ 108:
== Angahewa ==
Hewa iliyoko juu ya ardhi vile vile ina
== Tazama pia ==
Line 106 ⟶ 114:
* [[Madhara ya ongezeko la joto Duniani]]
==
<references/>
==
*Cesare Emilliani: Planet Earth. Cosmology, Geology, and the Evolution of Live and Environment. Cambridge University Press 1992, ISBN 0-521-40949-7
*Comins, Neil F. (2001). Discovering the Essential Universe (2nd ed.). W. H. Freeman. Bibcode:2003deu..book.....C. ISBN 0-7167-5804-0.
==Viungo vya
{{Sister project links |Earth |commons=Category:Earth}}
* [http://solarsystem.nasa.gov/planets/profile.cfm?Object=Earth Earth – Profile] – [http://solarsystem.nasa.gov/ Solar System Exploration] – [[NASA]].
Line 125 ⟶ 133:
** [https://www.youtube.com/watch?v=l6ahFFFQBZY Video (00:27)] – Earth and [[Aurora (astronomy)|Auroras]] (time-lapse).
{{mfumo wa jua na sayari zake}}
{{mbegu-sayansi}}
[[Jamii:Sayari]]
[[Jamii:Dunia]]
|