Uhai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Uhai''' kwa maana ya biolojia ni jumla ya tabia zinazotofautisha kiumbehai na maada kwa jumla. Kila uhai ulioweza kutazamiwa na sayansi unapatikana p...'
 
No edit summary
Mstari 1:
{{multiple image
'''Uhai''' kwa maana ya [[biolojia]] ni jumla ya tabia zinazotofautisha [[kiumbehai]] na maada kwa jumla. Kila uhai ulioweza kutazamiwa na sayansi unapatikana pamoja na maada.
| align = right
| direction = vertical
| width = 220
| image1 = Hoh rain forest trees.jpg
| caption1 = [[Mti]] ukikua katika [[Hoh Rainforest]]
| image2 = Grand prismatic spring.jpg
| caption2 = Picha toka angani ya [[mikrobi]] kwenye [[Grand Prismatic Spring]] huko [[Yellowstone National Park]]
}}
'''Uhai''' kwa maana ya [[biolojia]] ni jumla ya [[tabia]] zinazotofautisha [[kiumbehai]] na [[maada]] kwa jumla. Kila uhai ulioweza kutazamiwa na [[sayansi]] unapatikana pamoja na maada.
 
Kati ya tabia hizihizo kuna ni uwezo wa kushawishikakushawishiwa na [[mazingira]], kujipanga, kukua, [[metaboli]] na kuzaa. Kila tabia pekeepeke yake haifanyi uhai, kwa sababu moja-mojamojamoja zinaweza kutokea pia kwa [[mata]] isiyo hai: [[fuwele]] zinakua, [[ulimi wa moto]] inauna umbo maalumu na ndani yake kuna aina ya metaboli inayobadilisha [[molekuli]] za [[nta]] pamoja na [[oksijeni]] ya hewani[[hewa]]ni [[Dioksidi kabonia|dioksidi kabonia]] na [[maji]]. Kwa hiyo ni jumla ya tabia, lakini kwa sababu kuna tofauti kati ya viumbehai ambazo hazifanani katika tabia zote wkakwa pamoja kumbe hadi leo [[wataalamu]] hawakupatanahawajapatana bado ni mashartima[[sharti]] gani yanayohitajiyanayohitajika ili kuwepo kwa "uhai".
 
Uhai unpatikanaunapatikana kwa umbo la viumbehai vinavyopangwa katika vikundi vinavyofanana kati yao. Kila kiumbehai hufanywa na vitengo hai ndani yake vinavyoitwa [[seli]].
 
{{mbegu-sayansi}}
[[Jamii:biolojia]]
 
[[Jamii:biolojiaBiolojia]]