Tofauti kati ya marekesbisho "Uhai"

621 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
 
Uhai unapatikana kwa umbo la viumbehai vinavyopangwa katika vikundi vinavyofanana kati yao. Kila kiumbehai hufanywa na vitengo hai ndani yake vinavyoitwa [[seli]].
 
== Dunia kama mahali pa uhai ==
[[Dunia]] yetu ni [[sayari]] pekee inayojulikana mpaka sasa ambapo [[binadamu]] na viumbe vingine vinaweza kuishi.
 
Kuna sababu mbili:
# dunia yetu ina [[umbali]] na [[jua]] unaofaa kwa maisha kwa sababu sayari zilizoko karibu zaidi na jua (k.m. [[Zuhura]]) zina [[joto]] kubwa mno na sayari zilizoko mbali zaidi kama [[Mrihi]] ni [[baridi]] mno.
# dunia yetu ina [[angahewa]] yenye [[asilimia]] 78 ya [[naitrojini]], asilimia 21 ya [[oksijini]] na asilimia 1 ya aina nyinginezo za [[hewa]], na kwa sababu hii uhai na maisha yanamakinika katika [[ardhi]], kinyume na sayari nyinginezo.
 
{{mbegu-sayansi}}