Kolombia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
No edit summary
Mstari 15:
|government_type = [[Jamhuri]]
|leader_titles = [[Rais wa Kolombia|Rais]]
|leader_names = [[Juan Manuel Santos|Juan Manuel Santos Calderón]]
|area_rank = ya 26
|area_magnitude = 1 E12
|area= 1,141,748
|areami² = 440,839831 <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
|percent_water = 8.8%
|population_estimate = 4548,600014,000026 <!-- UN WPP -->
|population_estimate_rank = ya 2827
|population_estimate_year = JulaiFebruari 20052015
|population_census = 4142,242888,948592
|population_census_year = 2005
|population_density =40.74
|population_densitymi² = 104105.72 <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
|population_density_rank = 161st173
|GNI_per_capita = $2,020
|GNI_per_capita = ya 123
Mstari 58:
[[Picha:Co-map.png|thumb|left|250px|Ramani ya Kolombia]]
 
'''Kolombia''' (kwa [[Kihisp.Kihispania]]: ''República de Colombia'') ni nchi kwenye pembe la kaskazini yala [[Amerika ya Kusini]]. Imepakana na [[Venezuela]], [[Brazil]], [[Ekuador]], [[Peru]] na [[Panama]]. Ina pwani mbili za [[Pasifiki]] na [[Atlantiki]].
 
Imepakana na [[Venezuela]], [[Brazil]], [[Ekuador]], [[Peru]] na [[Panama]]. Ina [[pwani]] mbili, kwenye [[Pasifiki]] na [[Atlantiki]].
Jina la nchi limeteuliwa kwa heshima ya [[Kristoforo Kolumbus]]'' ([[Kihisp.]]: Cristóbal Colón; [[Kiit.]]:Cristoforo Colombo)'' aliyegundua njia kati ya Hispania na Amerika mwaka [[1492]].
 
Jina la nchi limeteuliwa kwa heshima ya [[Kristoforo Kolumbus]]'' ([[Kihisp.]]: Cristóbal Colón; kwa [[Kiit.Kiitalia]]: Cristoforo Colombo)'' aliyegundua njia kati ya [[Hispania]] na [[Amerika]] mwaka [[1492]].
 
== Jiografia ==
Upande wa [[magharibi]] wa nchi kuna una [[milima]] ya [[Andes]] inayopatikana kwa [[safu]] tatu za milima zinazoitwa "Kordileri".

Kati ya milima hiihiyo kuna [[chanzo]] cha mito miwili mikubwa ya nchi: ndiyo [[Rio Cauca]] na [[Rio Magdalena]] inayoishia katika [[Bahari ya Karibi]] (Atlantiki). [[Mto]] mkubwa upande wa magharibi ni [[Atrato]] inayoishiaunaoishia Pasifiki.
 
Milima ya juu ni [[Pico Cristobal Colon]] na [[Pico Simon Bolivar]] yenye [[kimo]] cha [[mita]] 5,775 mjuu ya [[UB]] kila mojammoja.
 
Sehemu ya mashariki ya Kolombia ni [[tambarare]] yenye [[misitu]] minene. Mito yake, kama vile [[Putumayo]], [[Yapura]], [[Meta]] na [[Guaviare]] inaishia ama katika mto [[Orinoko]] au kwenye [[Amazonas]].
 
=== Visiwa ===
KoloumbiaKolombia ina visiwa katika bahari zote mbili.
 
Upande wa Karibi / Atlantiki kuna [[funguvisiwa]] yavya [[San Andres na Providencia]] iliyokovilivyoko baharini 770&nbsp;[[km]] 770 kutoka [[bara]]. Karibu na pwani laya Karibi ni [[kisiwa]] cha [[Fuerte]] na funguvisiwa zavya [[San Bernardo]] na [[del Rosario]].
 
Visiwa vya [[Malpelo]], [[Gorgona]] na [[Gorgonilla]] viko katika Pasifiki.
=== Miji ===
Miji mikubwa ni [[mji mkuu]] [[Santa Fé de Bogotá]], [[Medellín]], [[Cali]], [[Cartagena de Indias]], [[Barranquilla]], [[Ibagué]], [[Manizales]], [[Pasto]], [[Cúcuta]] na [[Bucaramanga]].
[[Picha:CASADENARIÑO.jpg|thumb|left|300px|Ikulu ya Rais wa Kolombia]]
== Wakazi ==
Kuna wakazi milioni 41 wengi wako mjini hasa katika mabonde ya [[Rio Cauca]] na [[Rio Magdalena]] na kwenye mwambao wa bahari ya Karibi.
 
== Historia ==
Asili ya wakazi ni ya mchanganyiko wa vikundi vitatu:
Mataifa asilia ya Waindio walikuwa [[Wachibcha]], [[Waarawak]] na [[Wakaribi]].
* wenyeji asilia ("Wahindi wekundu" au [[Waindio]])
* Wazungu kutoka Hispania
* watoto wa Waafrika waliofika kama watumwa
 
Hasa Wachibcha waliokalia [[nyanda za juu]] walikuwa na [[utamaduni]] wa kimaandishi; walitumia [[kalenda]], mahesabu[[hesabu]] na [[alfabeti]] yao. Lakini hawakujenga miji na madolama[[dola]] yao yalikuwa madogo.
Sehemu kubwa ni chotara wa Waindio na Wazungu (takriban 60%), halafu Wazungu wenye asili ya Kihispania (20%), halafu chotara wa Waafrika na Wazungu (14%) na chotara wa Waindio na Waafrika (3%). Wakolombia wenye asili tupu ya Kiafrika ni %, enye asili tupu ya Waindio ni 1%.
 
Wahispania walijenga miji ya kwanza: [[Santa Marta]] ([[1527]]) na [[Cartagena de Indias]] ([[1533]]) kwenye pwani. Tangu mwaka [[1537]] waliingia katika nyanda za juu na kuvamia maeneo ya Wachibcha. Hapo walijenga miji ya [[Santa Fé de Bogotá]] na [[Tunja]] (zoteyote mbilimiwili [[1539]]).
Kuna uhamiaji mkubwa kutoka mashambani kuelekea mjini. Mwaka 1994 asilimia 74 za wakazi wote wa nchi walikaa mjini. Mikoa ya mashariki ina zaidi ya nusu ya eneo la taifa lakini asilimia 3 za wakazi pekee.
 
Baadaye Kolombia ilikuwa [[kitovu]] cha [[ufalme mdogo]] wa [[Granada Mpya]].
== Historia ==
Mataifa asilia ya Waindio walikuwa [[Wachibcha]], [[Waarawak]] na [[Wakaribi]].
 
Tangu mwaka [[1813]] [[kiongozi]] [[Simon Bolivar]] alipigania [[uhuru]] wa ma[[koloni]] zaya Amerika ya Kusini. Mwaka [[1819]] [[Jamhuri]] ya "Gran Colombia" (Kolombia kubwa) iliundwa iliyodumuikadumu hadi [[1831]]. Baadaye iliachana kuwa nchi za pekee za Kolombia (pamoja na [[Panama]]), [[Venezuela]] na [[Ecuador]].
Hasa Wachibcha waliokalia nyanda za juu walikuwa na utamaduni wa kimaandishi; walitumia kalenda, mahesabu na alfabeti yao. Lakini hawakujenga miji na madola yao yalikuwa madogo.
 
Kolumbia iliona [[vita ya wenyewe kwa wenyewe|vita za wenyewe kwa wenyewe]]; wakati wa "[[vita ya siku 1000]]" [[Marekani]] ilitumia [[udhaifu]] wa nchi na kusaidia [[ghasia]] katika [[Panama]] iliyosababisha [[uasi]] wa Panama kuwa nchi ya pekee mwaka [[1903]].
Wahispania walijenga miji ya kwanza [[Santa Marta]] ([[1527]]) na [[Cartagena de Indias]] ([[1533]]) kwenye pwani. Tangu 1537 waliingia katika nyanda za juu na kuvamia maeneo ya Wachibcha. Hapo walijenga miji ya [[Santa Fé de Bogotá]] na [[Tunja]] (zote mbili [[1539]]).
 
Sehemu ya pili ya [[karne ya 20]] iliona vita mpya ya wenyewe kwa wenyewe iliyoendelailiyoendelea hadi mwaka [[2006]]. ShemuS3hemu za nchi ziko chini ya wanamigambo[[wanamgambo]] wanaodumisha [[utawala]] wao kwa [[biashara]] ya [[dawa za kulevya|madawa ya kulevya]], hasa [[Kokainkokain]].
Baadaye Kolombia ilikuwa kitovu cha [[ufalme mdogo]] [[Granada Mpya]].
 
== Wakazi ==
Tangu mwaka 1813 kiongozi Simon Bolivar alipigania uhuru wa koloni za Amerika ya Kusini. 1819 Jamhuri ya "Gran Colombia" (Kolombia kubwa) iliundwa iliyodumu hadi [[1831]]. Baadaye iliachana kuwa nchi za pekee za Kolombia (pamoja na [[Panama]]), [[Venezuela]] na [[Ecuador]].
Kuna wakazi milioni 41: wengi wako mjini[[mji]]ni hasa katika mabondema[[bonde]] ya [[Rio Cauca]] na [[Rio Magdalena]] na kwenye [[mwambao]] wa bahari ya Karibi.
Mwaka [[2014]] asilimia 76 za wakazi wote wa nchi walikaa mjini.
Kuna [[uhamiaji]] mkubwa kutoka mashambanima[[shamba]]ni kuelekea mjini. Mwaka 1994 asilimia 74 za wakazi wote wa nchi walikaa mjini. Mikoa ya mashariki ina zaidi ya nusu ya eneo la taifa lakini asilimia 3 za wakazi pekee.
 
Asili ya wakazi ni ya mchanganyiko wa vikundi vitatu:
* wenyeji asilia ("Wahindi wekundu" au [[Waindio]])
* [[Wazungu]] kutoka Hispania n.k.
* watotowazao wa [[Waafrika]] waliofikawalioletwa kama [[watumwa]]
 
Sehemu kubwa ni ma[[chotara]] wa [[Waindio]] na [[Wazungu]] (takriban 6049%), halafu [[Wazungu wenye asili ya Kihispania]] (2037%), halafu chotaramachotara wa WaafrikaKiafrika na Wazungu (14%) na chotara wa Waindio na Waafrika (3%). Wakolombia wenye asili tupu ya Kiafrika niAfrika (10.6%,). enyeWenye asili tupu ya Waindio ni 13.4%.
 
[[Lugha rasmi]] na ya kawaida ni Kihispania (99.2%).
Kolumbia iliona [[vita ya wenyewe kwa wenyewe|vita za wenyewe kwa wenyewe]]; wakati wa "vita ya siku 1000" [[Marekani]] ilitumia udhaifu wa nchi na kusaidia ghasia katika [[Panama]] iliyosababisha uasi wa Panama kuwa nchi ya pekee mwaka [[1903]].
 
Upande wa [[dini]], asilimia 90 ni [[Wakristo]], hasa wa [[Kanisa Katoliki]] (70.9%) na wa [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Uprotestanti]] (16.7%).
Sehemu ya pili ya karne ya 20 iliona vita mpya ya wenyewe kwa wenyewe iliyoendela hadi mwaka 2006. Shemu za nchi ziko chini ya wanamigambo wanaodumisha utawala wao kwa biashara ya madawa ya kulevya hasa [[Kokain]].
 
== Tazama pia ==
Line 109 ⟶ 119:
 
== Viungo vya nje ==
{{commons|Colombia}}
* {{es}} [http://web.presidencia.gov.co/ Rais ya tovuti]
* {{es}} [http://www.gobiernoenlinea.gov.co/ Serikali ya Kolombia tovuti rasmi]
 
{{Amerika Kusini}}
{{commons|Colombia}}
{{mbegu-jio-AmerikaKusini}}