Baraka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|200px|[[Picha takatifu ya ''Yesu Kristo Pantokrator'' iliyochorwa na Theofane Mgiriki (karne ya 14). Mkono wake...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Feofan Blessing.jpg|thumb|200px|[[Picha takatifu]] ya ''[[Yesu Kristo]] [[Pantokrator]]'' iliyochorwa na [[Theofane Mgiriki]] (karne ya 14). Mkono wake wa kulia umeinuliwa ili kubariki.]]
'''Baraka''' ni tendo la kumtakia au kumuombea mtu mema, hasa kutoka kwa [[Mungu]]. Pengine mtendaji ana [[mamlaka]] fulani juu ya yule anayeombewa (kwa mfano ni [[mzazi]]), hasa katika [[dini]] husika (kwa mfano ni [[kuhani]]).
 
Baraka zinaweza kulenga maisha ya kawaida ([[afya]], [[uhai]], [[uzazi]], [[amani]], [[mafanikio]] n.k.) au mema ya kiroho zaidi ([[utakaso]]).
 
==Uyahudi==
[[File:Isaac Blessing Jacob - Govert Flinck.jpg|thumb|''[[Isaka]] akimbariki [[Yakobo Israeli|Yakobo]]'', [[mchoro]] wa [[Govert Flinck]] ([[Rijksmuseum Amsterdam]]).]]
[[Uyahudi]] ulistawisha sana baraka (kwa [[Kiebrania]] ''Berakhah'בּרכה''', berâkhâh, wingi ni ''Berakhot'') hasa kwa [[ibada]] za [[Hekalu la Yerusalemu]], lakini pia [[nyumba]]ni.
 
Mara nyingi hizo baraka zilitolewa baada ya mtu kutimiza [[amri]] fulani ya Mungu (''mitzvah'').
Line 14 ⟶ 17:
Ni hivyo katika [[Ukristo wa mashariki|Makanisa ya mashariki]] na ya [[Ukristo wa magharibi|magharibi]] vilevile.
 
Neno la [[KilatiniKigiriki]] lenye maana ya kubariki ni εὐλογία, eulogia, ambalo kama lile la [[Kilatini]] (''benedicere''benedictio) linaundwa na maneno mawili (''εὐ'', ''bene'', vizuri + ''dicereλογία'', kusema''dictio'', usemi). Neno la [[Kiingereza]] (''benediction'') na la [[lugha]] nyingine mbalimbali limekopwa kutoka Kilatini.
 
Baraka inaweza kutoka [[neno kwa neno]] katika [[Biblia]] (kwa mfano kutoka [[Nyaraka]] za [[Mtume Paulo]]), au kutungwa na mtoaji au kuwa na mchanganyiko wa hayo mawili.
 
Moja kati ya ibada zinazopendwa zaidi na [[Wakatoliki]] ni [[baraka kuu]], ambayo inatolewa na [[Mkleri]] kwa kushika mikononi [[Ekaristi|Mwili wa Kristo]] baada ya kuuabudu kwa muda fulani, hata masaa, ukiwa juu ya [[altare]] umezungukwa na [[mshumaa|mishumaa]].
Line 25 ⟶ 28:
 
Katika [[madhehebu]] mengi ya [[Uprotestanti]], [[kiongozi]] wa ibada ananyosha [[mikono]] juu ya waumini kama alivyoelekeza [[Martin Luther]] katika [[Deutsche Messe]].<ref>Precht, Fred L. ''Lutheran Worship History and Practice''. St. Louis: Concordia Publishing House, 1993. p. 434.</ref> <ref name="University2001">{{cite book|title=American Methodist Worship|accessdate=16 February 2015|date=8 March 2001|publisher=[[Oxford University Press]]|isbn=9780198029267|page=9|author=Karen B. Westerfield Tucker|quote=In the 1824 Methodist Episcopal ''Discipline'', instructions for the use of the Lord's Prayer and the apostolic benediction (2 Corinthians 13:14) were added, with the former to be used "on all occasions of public worship in concluding the first prayer," and the latter at the dismissal.}}</ref>
 
==Uislamu==
Katika [[Uislamu]] hakuna ukuhani, lakini muumini yeyote anabariki wenzake kwa kuwaambia kila wanapokutana السلام عليكم ورحمة الله وبركاته, as-salāmu alaikum wa rahmatul-lāhi wa barakātuh, yaani "Amani, huruma na baraka za Mungu viwe juu yenu".
 
== Tanbihi ==