Waha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Kabila la Waha limetokana na mtawanyiko wa makabila ya Warundi na Wahaya, kipindi cha kuhamahama kwa ajili ya kutafuta masilahi kama vile chakula na vita. Baada ya kufika kandokando mwa [[ziwa Tanganyika]] na maeneo yote yanayolizunguka Ziwa Tanganyika waliweza kukaa na kuanzisha shughuli mbalimbali kama vile kilimo, uvuvi, ufugaji na uwindaji.
 
Waha walipoanza kuyazoea mazingira, walijigamba na kujidai kwa makundi ya kikoo kuwa yana nguvu, kila mojammoja kwa nafasi yake, na kila ukoo ulijigamba kwa kutumia majina ya wanyama, wadudu, ndege milima n.k, mfano, kuna waliokuwa wakijigamba kuwa wao ni WASHUBHI ambao walijulikana kwa mnyama ambaye ni Kondoo yaani wapole, Sisimizi(Chunguchungu) Walijigamba kama Wakulima, wengine kama konoo, kiboko, n.k, na walijulikana tabia zao kulingana na majina ya ukoo wao.
 
Kilimo cha Waha ni Mahindi, maharage, ndizi, kahawa, mhogo, karanga, mbaazi, njegere, viazi mviino, viazi vitamu, mtama, ulezi, mahore, miwa, mpunga,korosho,n.k