Waha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
Pia Waha ni wavuvi wa samaki katika ziwa Tanganyika, mto Malagarasi, Mto Rwiche, Mto Mkoza, Na Mito minin midogomidogo kama vile, Nyajijima, Mresi, Kazingu, n.k
 
Waha ni wafugaji wa N'gombe, mbuzi, kuku, bata, Nguruwe, sunurasungura, mbwa paka, n.k,
 
Biashara zao ni Mazao wanayoyalima, samaki, na bidhaa nyingine za kawaida. Usafiri wao wa asili ilikuwa na Miguu yao wenyewe, ambapo kuna imani ilikuwepo pia ambayo ni yakusadikika kuwa walitumia UNGO kusafilia kama ndege yao ya asili.