Jiolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Ardhi: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|eu}} (2) using AWB (10903)
Mstari 17:
== Aina za miamba ==
Jiolojia inachuguza hasa [[Mwamba (jiolojia)|miamba]] na kutofautisha aina tatu kufuatana na misingi yao:
* Mwamba Moto-mwamba wa mgando au mwamba wa kivolkeno unajitokeza palapale ambako magma au lava inaganda.
* Mwamba Tabaka-mwamba mashapo hutokea pale ambako miamba inavunjika na kusagwa katika mmomonyoko na mashapo yanakandamizwa kwa njia ya kanieneo ya mashapo ya juu hadi mashapo kuwa mwamba mapya.
* Mwamba Geu-mwamba metamofia ni mageuzi ya miamba ya awali -ama ya kivolkeno au ya mishapo- kwa njia ya kanieneo kubwa sana na joto kali kuwa aina mpya ya mwamba. Metamofosi kwa kawaida hutokea katika kina kubwa.