Kangaruu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Nyama: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|de}} (2) using AWB (10903)
Mstari 70:
 
== Uzazi na mzunguko wa uzazi ==
Yai la kangaroo jike huwa ndani ya ovari na hushuka mpaka kwenye uterasi tayari kwa ajili ya kurutubishwa.kijusi hukua kwa haraka sana na kutoka nnjenje baada ya siku 33, kwa kawaida huwa anazaliwa mottomtoto mmoja tu. Mtoto huyo huwa haoni hana nyelenywele na urefu wa sentimeta chache sana miguu yake ya nyuma huwa inakuwa haijakuwa hivyo hutumia tu miguu ya mbele kujisogeza kwenye mfuko wa mama yake, na huchukua dakika tatu mpaka tano.akifika Akifika ndani ya pochi huanza kunyonya. Baada ya siku 150, mtoto anaweza kutokeza nje kwa mara ya kwanza. Baada ya kuchunguila chungulia nje kwa siku kadhaa na kuona kuwa ni salama. Baada ya hapo hutumia muda wake mwingi kuchungulia nje duniani na baada ya siku 235, hutoka nnjenje ya pochi kwa mara ya mwisho. [http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-26]
 
== Nyama ==