Fasihi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+kuboresha makala
Mstari 34:
**Fasihi andishi huwasilishwa kwa njia ya lugha ya maandishi
==Kufanana kwa fasihi simulizi na fasihi andishi==
Kimsingi fasihi ni moja ingwaingawa imegawanyika katika sehemu kuu mbili, yaani, fasihi simulizi na fasihi andishi. Mbali na mgawanyiko huo kuna mambo amabyoambayo yanafanana katika fasihi zote mbili. Mambo hayo ni pamoja na:
 
*Zote hutumia ufundi wa lugha ili kuwasilisha ujumbe kwa hadhira husika