Wahaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wahaya''' ni kabila linalopatikana katika [[Mkoa wa Kagera]], Kaskazini Magharibi mwa [[Tanzania]], kandokando ya [[Ziwa Victoria]]. Lughahadi yaompakani nikwa [[KihayaUganda]].
 
[[Lugha]] yao ni [[Kihaya]].
Kabila hilo ndilo linalojulikana kuliko yote ya mkoa wa Kagera, ila ndani yake kuna vijikabila vidogovidogo, kama vile Waziba wa [[Kiziba]], Wahamba wa [[Muhutwe]], Wayoza na waendangabo wa [[Bugabo]], Wanyaiyangilo wa [[Muleba]], Wasubi wa [[Biharamulo]],
 
Kabila hilo ndilo linalojulikana kuliko yote ya mkoa wa Kagera, ila ndani yake kuna vijikabila vidogovidogo, kama vile Waziba wa [[Kiziba]], Wahamba wa [[Muhutwe]], Wayoza na waendangaboWaendangabo wa [[Bugabo]], Wanyaiyangilo wa [[Muleba]], Wasubi wa [[Biharamulo]],
 
Tofauti kati ya vijikabiravijikabila zinatambulika kutokana na mabadiliko madogo madogo tu ya maneno na pia [[lafudhi]] ya Kihaya ya hiyo sehemu, [[chakula]], [[ngoma za asili]], majina ya asili, n.k.
mfano:- (Kiswahili=Viazi vitamu) = (Kiziba= ebitakuli) = (Kihamba, Kiyoza na Kinyaihangilo = enfuma)
 
Tofauti kati ya vijikabira zinatambulika kutokana na mabadiliko madogo madogo tu ya maneno na pia [[lafudhi]] ya Kihaya ya hiyo sehemu, [[chakula]], [[ngoma za asili]], majina ya asili, n.k.
{{mbegu-utamaduni-TZ}}