Kangaruu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 57:
[[Picha:Eastern_grey_kangaroo_dec07_02.jpg|thumb|220px|Kangaruu Kijivu wa Mashariki (Eastern Grey) porini]]
 
Kangaruu hula nyasi na majani ya vichaka, spishi ndogo za kangaruu hula fungi. Spishi nyingi huchanganyika usiku[http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-archive-17] na hutumia muda mwingi wa mchana kupumzika kivulini, na kutembea kutafuta chakula jioni tulivu, usiku na asubuhi.
Kwa sababu ya ulaji wake meno ya kangaroo yamejifanyia meno mengine maalum. Meno yake chonge yanauwezo wa kung’ata nyasi chini kabisa karibu na ardhi na magego yake kwa ajili ya nyasi.mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kama ya chakula usio toa gesi ya methane. Licha ya kuwa na utaratibu wa mfumo wa mmengenyo wa chakula kama wa wanyama wengine wala nyasi, mfano ngombe ambao hutoa kiasi kikubwa cha methane; wakati wa kutoa hewa kangaruu hawatoi nje gesi ya methane. Hewa ya hidrojeni badalaabadala ya kuwa methane, hubadilishwa na huwa kemikali ya asetetiaseteki, ambayo hutumika kutengeneza nishati zaidi. Wanasayansi yawa mimea wanashauku kubwa ya kubainisha bakteria wanaofanya kazi hiyo toka kwa kangaroo mpaka kwa ngombeng'ombe sababu gesi ya methane hutoka kwa kwa ngombeng'ombe. Ng’ombe huchangaia uchafuzi wa hali ya hewa mara 23 zaidi kuliko hewa ya ukaa.
 
== Kuyamudu mazingira ==