Kangaruu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 64:
[[Picha:Baby_kangaroo.JPG|thumb|220px|Kangaruu mtoto]]
 
Kangaruu wamejijengea maungo kadhaa yanayo wawezesha kuishi katika makazi yasioyasiyo na rutuba na hali ya hewa yenye kubadilika badilika
Bila kutegemewa wakati wa ukame msimu usio wa mvua., Ngamia dume hawazalishi manii, nao kangaroo jike hushika mimba tu kama kuna mvua ya kutosha ya kuzalisha kiasi kikubwa cha majani.
 
Kuna mahusiano wakati wa kuruka na kupumua kwa kangaroo wakati mguu unatoka ardhini hewa inatoka mapafuni kurusha mguu mbele tayari kwa kutua hujaza tena mapafu kwa hewa kuweka matumizi mazuri ya nishati, uchunguzi umeonesha kuwa zaidi ya nishati inayotumika kuvukia kangaroo huhitaji nishati ndogo sana kama anataka kuvuka sana tofauti na wanyama wengine wanapoongeza kasi ya miendo yao mf. farasi na binadamu
 
== Uzazi na mzunguko wa uzazi ==