Nyigu : Tofauti kati ya masahihisho
Nyongeza majina ya Kiswahili
dNo edit summary |
(Nyongeza majina ya Kiswahili) |
||
Kinyume na nyigu wengine spishi za [[familia (biolojia)|familia]] [[Chalcidae]] ([[nyigu-kidutu]]) husababisha vidutu kwa [[jani|majani]] ya [[mmea|mimea]] na lava hula tishu yao. Spishi jamaa za familia [[Agaonidae]] ([[nyigu-makuyu]]) huyataga mayai yao katika [[ovari]] za [[ua|maua]] ya [[mtini|mitini]].
Kuna majina mbalimbali kwa makundi ya mende-kibyongo, kama vile: [[bunzi]], [[dondora]], [[mavu]], [[nyigu-kidutu]], [[nyigu-makuyu]] na [[uvi]].
==Picha==
|