Wasukuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wasukuma''' ni [[kabila]] kubwa zaidi nchini [[Tanzania]]: linakadiriwa kufikia watu milioni 5.5 idadi inayowakilisha [[asilimia]] 16 ya wakazi wa nchi kwa ujumla.
'''Wasukuma''' ni kabila kubwa zaidi nchini [[Tanzania]], linakadiriwa kufikia watu milioni 5.5 idadi inayowakilisha asilimia 16 ya wakazi wa nchi kwa ujumla. Wasukuma ina maana ya watu wa upande wa kaskazini, lakini maana hii haiwakilishi maana halisi ambayo watu wengi huitafsiri kwa mfano wasukuma hutumia alama ya utambulisho (dira) kwa eneo fulani kwa viashirio vya makabila, kwa mfano wa jina kama hili '''Kiya''' hili lina maana ya Mashariki ambako ni mawio ya jua, huu ni utambulisho ambao haukufananishwa ama kuitwa kwa jina la kabila fulani, ''' mfano mwingine ni upande wa '''Dakama''' ambapo yatambulisha kama eneo la unyamwezini lakini zaidi ya mpanuko wake ni upande wa '''kusini''' zaidi ya hapo neno hili hutumiwa sana na kabila la wanyamwezi ili kutambulisha eneo la wasukuma ambapo wasukuma nao husema ‘’’dakama’’’, upande mwingine ambao unapewa alama ya utambulisho ni '''UShashi''' maana yake ni upande wa kabila ya washashi na neno hili washashi ni mkusanyiko wa makabila ya mkoa wa mara japo pia neno hili '''shahi''' linamaanisha kabila la wakurya ambalo pia mpanuko wake unakomea hapo, ambapo zaidi ya hapo eneo zima la upande huo unamaanisha upande wa kaskazini na upande wa mwisho kutambulishwa ni '''Ngw’eli''', neno hili halikupewa kabila na badala yake linawakilisha upande wa magharibi (dira), ambako ni machweo ya jua. " Wasukuma wenyewe hulirejea jina hili kama'' Basuguma'' kwa (wingi) na'' Nsuguma'' kwa (umoja).
 
==Jina==
Wasukuma huishi eneo la kaskazini magharibi mwa Tanzania karibu na mwambao wa kusini mwa Ziwa Victoria, na maeneo mbalimbali ya utawala ya wilaya ya Nyamagana, mkoa wa [[w:Mkoa wa Mwanza | Mwanza]], upo pia kusini magharibi mwa mkoa wa [[w:Mkoa wa Mara|Mara]], [[w:Mkoa wa Simiyu]] na [[w:Mkoa wa Shinyanga|Mkoa wa Shinyanga]]. Eneo la kaskazini la makazi yao ni katika maarufu Plain [[w:Serengeti]]. Familia za wasukuma wengi sana wamehamia maeneo ya kusini kuelekea maeneo ya mkoa wa [[w:Rukwa|Rukwa]] ambao baadae umegawanywa na kuzaa mkoa wa [[w:Katavi|Katavi]], wakipita maeneo ya kabila la [[w:Pimbwe|Wapimbwe]]. Na hivyo kufanya makazi katika eneo hili la kijiji cha Wapimbwe.
'''Wasukuma''' ni kabila kubwa zaidi nchini [[Tanzania]], linakadiriwa kufikia watu milioni 5.5 idadi inayowakilisha asilimia 16 ya wakazi wa nchi kwa ujumla.Jina "Wasukuma" inalina maana ya watu wa upande wa "[[kaskazini]]", lakini maana hii haiwakilishi maana halisi ambayo watu wengi huitafsiri kwa mfano wasukumaWasukuma hutumia alama ya utambulisho ([[dira]]) kwa eneo fulani kwa viashirio vya makabila, kwa mfano wa jina kama hili: '''Kiya'''. hiliHili lina maana ya Mashariki[[mashariki]] ambako ni [[mawio]] ya [[jua]], huu ni utambulisho ambao haukufananishwa ama kuitwa kwa jina la kabila fulani,. ''' mfanoMfano mwingine ni upande wa '''"Dakama'''" ambapo yatambulisha kama eneo la unyamweziniUnyamwezi lakini zaidi ya mpanuko wake ni upande wa '''"kusini'''". zaidiZaidi ya hapo neno hili hutumiwa sana na kabila la wanyamwezi[[Wanyamwezi]] ili kutambulisha eneo la wasukumaWasukuma ambapo wasukumaWasukuma nao husema ‘’’dakama’’’,"dakama". upandeUpande mwingine ambao unapewa alama ya utambulisho ni '''UShashi''' "Ushashi" maana yake ni upande wa kabila yala washashi[[Washashi]] na neno hili washashiWashashi ni mkusanyiko wa makabila ya [[mkoa wa mara]], japo pia neno hili '''"shahi'''" linamaanisha kabila la wakurya[[Wakurya]] ambalo pia mpanuko wake unakomea hapo, ambapo zaidi ya hapo eneo zima la upande huo unamaanisha upande wa kaskazini. na upandeUpande wa mwisho kutambulishwa ni '''"Ngw’eli'''", neno hili halikupewa kabila na badala yake linawakilisha upande wa magharibi (dira), ambako ni [[machweo]] ya jua. " Wasukuma wenyewe hulirejea jina hili kama'' "Basuguma''" kwa (wingi) na'' "Nsuguma''" kwa (umoja).
 
==Eneo==
Eneo hili la wasukumaland ambalo linakadiriwa kuwa na ukubwa wa mita za mraba 910 hadi 1200 sawa na futi {{kubadili: | 3000 | na | 4000 | ft | disp = flip}}. Mwinuko wake unakadiriwa kuwa inchi Ishirini hadi arobaini ({{convert | 20 | wa | 40 | katika | cm | disp = pato tu}}) ya ujazo wa mvua kutoka Novemba hadi mwezi Machi. Kiwango cha juu cha joto hutegemea angalau ni kutoka {{convert | 26 | ya | 32 | C | F}} wakati kiwango cha chini nyakati za usiku hushuka na kufikia {{convert | 15 | C}}. Idadi ya watu inaongezeka kwa kasi na hivyo pia kuongezeka kwa wakulima wa mbogamboga.
Wasukuma huishi eneo la kaskazini magharibi mwa Tanzania, karibu na [[mwambao]] wa kusini mwa [[Ziwa Victoria]], na maeneo mbalimbali ya utawala ya [[wilaya ya Nyamagana]], [[Mkoa wa Mwanza]], upo pia kusini magharibi mwa mkoa wa [[Mkoa wa Mara]], [[Mkoa wa Simiyu]] na [[Mkoa wa Shinyanga]].
 
Wasukuma huishi eneo la kaskazini magharibi mwa Tanzania karibu na mwambao wa kusini mwa Ziwa Victoria, na maeneo mbalimbali ya utawala ya wilaya ya Nyamagana, mkoa wa [[w:Mkoa wa Mwanza | Mwanza]], upo pia kusini magharibi mwa mkoa wa [[w:Mkoa wa Mara|Mara]], [[w:Mkoa wa Simiyu]] na [[w:Mkoa wa Shinyanga|Mkoa wa Shinyanga]]. Eneo la kaskazini la makazi yao ni katika maarufumbuga Plainmaarufu [[w:Serengeti]]. Familia za wasukumaWasukuma wengi sana wamehamia maeneo ya kusini kuelekea maeneo ya [[mkoa wa [[w:Rukwa|Rukwa]] ambao baadae umegawanywa na kuzaa [[mkoa wa [[w:Katavi|Katavi]], wakipita maeneo ya kabila la [[w:Pimbwe|Wapimbwe]]. Nana hivyo kufanya makazi katika eneo hili la [[kijiji]] cha Wapimbwe.
== '''Shughuli za kiuchumi.''' ==
 
Eneo hili linakadiriwa kuwa na ukubwa wa mita za mraba 910 hadi 1200 sawa na futi {{kubadili: | 3000 | na | 4000 | ft | disp = flip}}.
Shughuli kuu za kiuchumi kwa wasukuma ni kilimo,uvuvi, ufugaji na biashara.
 
Mwinuko wake unakadiriwa kuwa inchi ishirini hadi arobaini ({{convert | 20 | wa | 40 | katika | cm | disp = pato tu}}) ya ujazo wa mvua kutoka Novemba hadi mwezi Machi.
Pamba ndio zao kuu la kibiashara kwa wasukuma, ambao pia hulima mazao mengine kama mpunga, tumbaku, mahindi,Viazi,Dengu na matunda(Kisiwani ukerewe)
 
Kiwango cha juu cha joto hutegemea angalau ni kutoka {{convert | 26 | ya | 32 | C | F}} wakati kiwango cha chini nyakati za usiku hushuka na kufikia {{convert | 15 | C}}.
Wasukuma pia ni wafanyabiashara na uvuvi, madini mbalimbali kama vile dhahabu, almasi na madini mengineyo huchimbwa katika maeneo mbali mbali mikoa ya Mwanza na Shinyanga.
 
[[Idadi ya watu]] inaongezeka kwa [[kasi]] na hivyo pia kuongezeka kwa [[wakulima]] wa [[mboga|mbogamboga]].
Wasukuma pia wanajihusisha sana sana na kilimo cha mazao ya nafaka na mifugo ya aina mbali mbali. Maeneo ya Shinyanga wanalima mazao ya nafaka kama Mahindi na Mpunga.
 
== '''Shughuli za kiuchumi.''' ==
 
Shughuli kuu za kiuchumi kwa wasukumaWasukuma ni [[kilimo]], [[uvuvi]], [[ufugaji]] na [[biashara]].
 
[[Pamba]] ndio zao kuu la kibiashara kwa wasukuma, ambao pia hulima mazao mengine kama [[mpunga]], [[tumbaku]], [[mahindi]],Viazi [[viazi]],Dengu [[dengu]] na matundama[[tunda]] (Kisiwani[[kisiwa]]ni ukerewe[[Ukerewe]])
 
Wasukuma pia ni [[wafanyabiashara]] na uvuvi, [[madini]] mbalimbali kama vile [[dhahabu]], [[almasi]] na madini mengineyo ambayo huchimbwa katika maeneo mbali mbalimbalimbali mikoa ya Mwanza na Shinyanga.
 
Wasukuma pia wanajihusisha sana sana na kilimo cha mazao ya [[nafaka]] na [[mifugo]] ya aina mbali mbalimbalimbali. Maeneo ya Shinyanga wanalima mazao ya nafaka kama Mahindi[[mahindi]] na Mpungampunga.
 
== Maeneo yaliyo na madini ==
 
Wasukuma wamezungukwa na madini mbalimbali. Yafuatayo ni maeneo yaliyo na madini.
1. [[Mwadui]] (Huku kuna madini ya almasi ambayo kwa kiwango kikubwa huipatia [[serikali]] [[pesa za kigeni]])
2. [[Maganzo]] (Vilevile eneo hili limewekwa kwa ajili ya [[wachimbaji wadogowadogo]] wa almasi, eneo hili liko magharibi ya Mwadui.)
 
{{mbegu-utamaduni-TZ}}