Mbawakawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza majina ya Kiswahili
dNo edit summary
Mstari 17:
* [[Polyphaga]]
}}
'''Mende-kibyongo''' au '''kombamwiko-kibyongo''' ni jina la kawaida la [[wadudu]] wadogo hadi wakubwa ya [[oda]] [[Coleoptera]]. Kwa kawaida [[kiunzi nje]] cha wadudu hawa ni kigumu sana. Hata [[bawa|mabawa]] ya mbele yamekuwa kama [[gamba|magamba]] magumu na pengine magamba haya yameungayameungika kwa kuwa moja. Kiunzi kigumu hiki kinazuia mbuai wadogo wasiwale mende-kibyongo. Sehemu za kinywa ni sahili lakini spishi mbuai zina [[mandibuli]] kubwa na kali mara nyingi. Macho yao yameunda kwa sehemu nyingi kama wadudu wote lakini macho ni madogo kwa kulinganisha na kichwa kuliko wadudu wengi wengine.
 
Oda ya Coleoptera ni kubwa kuliko oda zote za [[mnyama|wanyama]] na ina zaidi ya [[spishi]] 400,000. Spishi nyingi bado hazijafafanuliwa na wataalamu wanakisia kwamba jumla ya spishi itazidi milioni moja na kwamba 25% ya spishi zote za wanyama ni Coleoptera. Kwa sasa karibu na 40% ya spishi za nyama zilizofafanuliwa ni Coleoptera. Lakini karibuni hivi wanasayansi wameanza kumaizi kwamba oda hii si [[monofiletiki]], yaani haina mhenga mmoja tu. [[Nusuoda]] ya [[Adephaga]] inaweza kuwa oda na labda makuni mengine ya Coleoptera yatapewa oda zao.