Diodi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumbnail|Diodi mbalimbali '''Diodi''' ni kijenzi au kiambajengo elektroniki muhimu. Inafanya kazi kama valvu ya umeme ikiruhusu mkond...'
 
No edit summary
Mstari 4:
Diodi hutumiwa kubadilisha [[mkondo geu]] (AC) kuwa [[mkondo mnyovu]] (DC). Zinapatikana mara nyingi katika mitambo ya kutolea umeme kama vile ugawi wa umeme wa kompyuta. Kwa ndani vijenzi vya kompyuta hutumia mkondo mnyofu lakini umeme kutoka nje ni mkondo geu unaohitaji kubadilishwa, kazi inayofanya na diodo katika ugawi wa umeme.
 
Siku hizi diodi hutumiwa zaidi na zaidi kwa umbo la [[diodi itoayo nuru]] (LED) ambazo siku hizi zinatumiwa katika [[taa]] kwa matumizi kidogo cha nishati kuliko taa za kawaida.
 
Siku hizi diodi hutengenezwa kwa kutumia dutu za nusu kipitishi ''([[ing.]] semiconductor)'' kama vile [[silikoni]] au [[germani]].
 
 
[[Jamii:elektronikiTeknolojia]]