Tofauti kati ya marekesbisho "Dola-mji"

122 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 54 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q133442 (translate me))
No edit summary
'''Dola-mji''' ni [[dola]] ambalo eneo lake ni [[mji]] mmoja pekee.
 
Katika historia kuna mifano mingi ya dola-miji. SasaMwaka (mnamo2015 mwakakulikuwa 2006)na kunamiji mitatu pekeeduniani ambayo ni dola-miji ya kujitegemea kabisa. Pamoja nayo kuna pia madola au majimbo ndani ya nchi za shirikisho yanayoweza kuitwa "dola-mji".
 
== Dola-mji wa kujitegemea kabisa ==
* [[Ceuta]] na [[Melilla]] ambayo ni miji ya kujitawala (ciudades autónomas) ya [[Hispania]]
 
[[UchinaChina]] si shirikisho lakini miji ya [[Hongkong]] na [[Makau]] ina madaraka makubwa ya kujitawala nje ya sheria za UchinaChina bara.
 
== Dola-miji katika historia ==
 
=== Dola-miji katika karne ya 20 ===
Karne ya 20 ilikuwa na dola-miiji kadhaa hasa kati ya [[vita kuu ya pilikwanza ya dunia|vita kuu ya kwanza]] na ya [[vita kuu ya pili ya dunia|pili]].
 
* Fiume (Rijeka) katika [[Kroatia]] ya leo
 
* [[Dola la Ujerumani]] lilikuwa na dola-miji mingi hadi karne ya 19. Iliyobaki hadi leo na hali ya pekee ndani ya shirikisho la jamhuri ni [[Hamburg]] na [[Bremen]]. Mji wa [[Berlin]] ambao leo ni jimbo la kujitegema haukuwa dola-mji katika historia.
 
*[[Hanse]] ilikuwa shirikisho la miji ya biashara katika Ulaya ya Kaskazini na miji hii kwa jumla ilijitawala.
 
== Viungo vie nje ==