Dola-mji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Dola-mji''' ni [[dola]] ambalo eneo lake ni [[mji]] mmoja pekee.
 
Katika [[historia]] kuna mifano mingi ya dola-miji. Mwaka [[2015]] kulikuwa bado na miji mitatu duniani[[dunia]]ni ambayo ni dola-miji ya kujitegemea kabisa.

Pamoja nayo kuna pia madola au majimbo ndani ya nchi za [[shirikisho]] yanayoweza kuitwa "dola-mji".
 
== Dola-mji wa kujitegemea kabisa ==
Line 10 ⟶ 12:
* [[Vatikano]]
 
Wakati mwingi [[Kuwait]] huitwa pia "Dola-mji" kwa sababu karibu wakazi wote wa dola huishi katika [[mazingira]] ya Kuwait mjini. Lakini nchini kuna miji midogo mingine nchinipia.
 
== Dola mji kama jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho ==
Line 24 ⟶ 26:
 
== Dola-miji katika historia ==
Dola miji ilikuwa muhimu sana katika nchi nyingi kihistoria. Hasa wakati ambapo katika nchi fulani hakunahakukuwa na [[serikali]] ya juu miji ilijitawala kabisa na kushindana na miji mingine na falme.
 
Dola miji ilikuwa muhimu sana katika nchi nyingi kihistoria. Hasa wakati katika nchi fulani hakuna serikali ya juu miji ilijitawala kabisa na kushindana na miji mingine na falme.
 
=== Dola-miji katika karne ya 20 ===
[[Karne ya 20]] ilikuwa na dola-miijimiji kadhaa, hasa kati ya [[vita kuu ya kwanza ya dunia|vita kuu ya kwanza]] na ya [[vita kuu ya pili ya dunia|pili]].
 
* [[Fiume]] ([[Rijeka]]) katika [[Kroatia]] ya leo
* [[Trieste]] katika [[Italia]] ya leo
* [[Danzig]] ([[Gdansk]]) katika [[Poland]] ya leo
* [[Memel]] ([[Klaipeda]]) katika [[Lithuania]] ya leo
 
=== Dola-miji ya zamani ===
* Miji ya [[Waswahili]] kwenye [[pwani]] laya [[Afrika ya Mashariki]] ilikuwa dola-miji ya kujitegemea kama vile [[Mombasa]], [[Malindi]], [[Lamu]], [[Pate]] na [[Kilwa]]. Wakati mwingine utawala wao ulienea zaidi, lakini kimsingi ilikuwa kila mji unaotawala eneo lake.
 
* Miji ya [[Uarabuni]] ilijitegemea kabisa kwa muda mrefu, kwa mfano [[Maka]] na [[Madina]].
 
* [[Ugiriki ya Kale]] ilikuwa na dola-miji mingikwa wingi. [[Athens]], [[Sparta]], [[Korintho]] zilikuwa kwa muda mrefu miji tu pamoja na vijiji vichache. Zilijaribu kupanuka, hasa Athens ilifaulu.
 
* Katika [[Italia]] ya [[nyakati za kati]] miji muhimu ilijitawala kabisa. Kati ya dola-miji iliyoweza kupanua eneo lao ni hasa [[Genova]] na [[VenesiaVenezia]].
 
* [[Dola la Ujerumani]] lilikuwa na dola-miji mingi hadi [[karne ya 19]]. Iliyobaki hadi leo na hali ya pekee ndani ya shirikisho la jamhuri ni [[Hamburg]] na [[Bremen]]. Mji wa [[Berlin]] ambao leo ni jimbo la kujitegema haukuwa dola-mji katika historia.
 
*[[Hanse]] ilikuwa shirikisho la miji ya [[biashara]] katika [[Ulaya]] ya Kaskazini na miji hii kwa jumla ilijitawala.
 
== Viungo vie nje ==