Mbingu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 91 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q527 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
<small><small>''Kwa mbingu kama uwazi juu tunayoona juu ya uso wa ardhi penye mawingu, jua na nyota tazama [[anga]]''</small></small>
'''Mbingu''' ni upeo wa [[Mungu]] au [[miungu]] katika mafundisho ya [[dini]] nyingi. Mara nyingi humaanisha pia upeo wa kiroho ambako [[nafsi]] za wafu
Watu walioishi zamani, wakitegemea [[macho]] yao pekee, waliona mara nyingi ya kwamba
Lakini tangu kale watu wengine waliona ya kwamba mbingu si mahali maalumu, bali zaidi [[hali]] au upeo ambao ni tofauti
== Anga na mbingu ==
Katika [[lugha]] ya kila siku maneno "[[anga]]" na "mbingu" mara nyingi yanatumiwa kwa maana moja: "
Lakini mbingu huwa na maana ya ziada, yaani ya kidini, kwa kutaja pia upeo wa Mungu au hali inayopita maarifa ya [[dunia]]ni: "hapa ninajisikia kama mbinguni" ni tofauti sana na "hapa najisikia angani".
{{mbegu}}▼
Katika [[wikipedia]] hii tunatumia neno "mbingu" zaidi kwa maana ya kidini.
▲{{mbegu-dini}}
[[Jamii:Dini]]
|