Mbingu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
<small><small>''Katika [[wikipedia]] hii tunatumia neno "mbingu" zaidi kwa maana ya kidini. Kwa mbingu kama uwazi juu tunayoonatunaoona juu ya uso wa [[ardhi]] penye mawinguma[[wingu]], [[jua]] na [[nyota]] tazama [[anga]]''</small></small>
[[File:Paradiso Canto 31.jpg|thumb|upright|right|300px|[[Dante Alighieri]] na [[Beatrice Portinari|Beatrice]] wakikazia [[macho]] mbingu za juu zaidi. [[Mchoro]] huu wa [[Gustave Doré]] unafuata ma[[shairi]] bora ya [[Kiitalia]], kwa jina [[Divina Commedia]].]]
 
'''Mbingu''' ni upeo wa [[Mungu]] au [[miungu]] katika mafundisho ya [[dini]] nyingi. Mara nyingi humaanisha pia upeo wa kiroho ambako [[nafsi]] za wafu huweza kufikia baada ya [[kifo]].
 
Mstari 11:
 
Lakini mbingu huwa na maana ya ziada, yaani ya kidini, kwa kutaja pia upeo wa Mungu au hali inayopita maarifa ya [[dunia]]ni: "hapa ninajisikia kama mbinguni" ni tofauti sana na "hapa najisikia angani".
 
Katika [[wikipedia]] hii tunatumia neno "mbingu" zaidi kwa maana ya kidini.
 
{{mbegu-dini}}