Anga : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3882508 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Bewölkter Himmel.jpg|thumb|Anga
[[picha:NASA-Apollo8-Dec24-Earthrise.jpg|thumb|Anga
{{commons|Sky|sky}}▼
'''Anga''' ''(mara nyingi pia: '''mbingu''')'' ni uwazi ule tunaoona juu yetu tukiinua kichwa juu nje ya jengo. Ni uwazi mkubwa; tukisimama kwenye tambarare au juu ya mlima kwenye mchana bila mawingu inaonekana kama [[nusutufe]] yenye rangi ya buluu. Ile buluu inaongezeka tukitazama juu zaidi kulingana na sehemu karibu na upeo. Wakati wa [[usiku]] anga ni nyeusi lakini inajaa nuru za [[nyota]].▼
'''Anga''' ''(mara nyingi pia: '''mbingu''')'' ni uwazi ule tunaoona juu yetu tukiinua [[kichwa]] juu nje ya [[jengo]].
Kwa lugha nyingine anga ni eneo la [[angahewa]] au upeo unaojaa hewa juu ya uso wa ardhi. Sehemu hii inajaa molekuli za [[gesi]] za angahewa hasa [[nitrojeni]] na [[oksijeni]]; ni [[molekuli]] hizi zinazoakisisha [[nuru]] ya [[jua]] na kusababisha rangi ya buluu ya anga wakati wa mchana. Bila hewa anga ingekuwa nyeusi muda wote jinsi ilivyo mwezini (linganisha picha). ▼
▲
Wakati wa mchana tunaona [[jua]] angani lisipofunikwa na [[mawingu]]. Wakati wa usiku tunaona [[nyota]] na [[mwezi]] zinazoonekana pia asubuhi na jioni ambako nuru ya jua haina nguvu bado au tena. Mengine yanayoonekana angani ni mawingu, [[upinde wa mvua]], [[ndege]] au [[eropleni]]. ▼
▲Kwa [[lugha]] nyingine anga ni eneo la [[angahewa]] au upeo unaojaa [[hewa]] juu ya uso wa [[ardhi]]. Sehemu
==Anga la Nje==▼
Anga halina mwisho. Pale tunapojadili sehemu kubwa iliyoko nje ya angahewa tunaweza kuita [[anga la nje]] na hii ni upeo wa [[mwezi]], [[sayari]], [[jua]] na [[nyota]]. Sayansi ya [[astronomia]] inaifanyia utafiti. Anga la nje ni karibu hali ya [[ombwe]] yaani tupu pasipo magimba ya angani au vumbi. Lakini inajaa mnururisho wa aina mbalimbali na kani kama [[graviti]].▼
▲Wakati wa mchana tunaona [[jua]] angani lisipofunikwa na [[mawingu]]. Wakati wa [[usiku]] tunaona [[
==Anga na mbingu==▼
Katika lugha ya kila siku maneno "anga" na "[[mbingu]]" mara nyingi yanatumiwa kwa maana moja: "Mawingu yanatembea angani - mawingu yanatembea mbinguni". Lakini mbingu huwa na maana ya ziada yaani ya kidini kwa kutaja pia upeo wa Mungu au hali inayopita maarifa ya duniani: "hapa ninajisikia kama mbinguni" ni tofauti sana na "hapa najisikia angani". Katika wikipedia hii tunatumia neno "mbingu" zaidi kwa maana ya kidini.▼
Mengine yanayoonekana angani ni mawingu, [[upinde wa mvua]], [[ndege]] au [[eropleni]].
▲Anga halina mwisho. Pale tunapojadili sehemu kubwa iliyoko nje ya angahewa tunaweza kuita [[anga la nje]] na hii ni upeo wa [[mwezi]], [[sayari]], [[jua]] na [[nyota]]. [[Sayansi]] ya [[astronomia]] inaifanyia utafiti.
Anga la nje ni karibu hali ya [[ombwe]] yaani tupu pasipo ma[[gimba]] ya angani au [[vumbi]]. Lakini imejaa [[mnururisho]] wa aina mbalimbali na [[kani]] kama [[graviti]].
▲==Anga na mbingu==
== Viungo vya nje ==▼
▲Katika lugha ya kila siku maneno "anga" na "[[mbingu]]" mara nyingi yanatumiwa kwa maana moja: "Mawingu yanatembea angani - mawingu yanatembea mbinguni". Lakini mbingu huwa na maana ya ziada, yaani ya
Katika [[wikipedia]] hii tunatumia neno "mbingu" zaidi kwa maana ya kidini.
▲== Viungo vya nje ==
▲{{commons|Sky|sky}}
* [http://www.rayching.co.nz/sky.htm Day Sky Images]
* [http://www.astronomy.net.nz/ Night Sky Images]
Line 24 ⟶ 29:
* [http://math.ucr.edu/home/baez/physics/General/BlueSky/blue_sky.html Why is the sky blue?]
{{
[[Category:ulimwengu]]▼
[[
|