Asubuhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|250px|[[Yosemite Valley wakati wa asubuhi.]] '''Asubuhi''' (kutoka Kiarabu صباح) ni kipindi cha siku ambacho kin...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Yosemite Morning.jpg|thumb|250px|[[Yosemite Valley]] wakati wa asubuhi.]]
'''Asubuhi''' (kutoka [[Kiarabu]] صباح) ni kipindi cha [[siku]] ambacho kinaleta [[mwanga]] wa kwanza wa [[mchana]] baada ya giza la [[usiku]].
 
Kwa [[binadamu]] na [[wanyama]] wengi ndio [[wakati]] wa kuamka kwa kutoka [[usingizi]]ni ili kuanza [[shughuli]] mbalimbali.
 
Katika [[dini]] mbalimbali, ni wakati muhimu wa [[sala]].
 
{{mbegu}}