Moshi William : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sawazisho dogo
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 3:
'''TX Moshi William ('''jina halisi Shaban Ally Mhoja Kishiwa) alikuwa mmoja wa wanamuziki mahiri wa [[muziki wa dansi]] nchini [[Tanzania]]. Alizaliwa [[Tanga]] mwaka [[1958]] na kufariki dunia [[29 Machi]] [[2006]] na kuacha mke mmoja na watoto wanne na aliweza kurekodi albamu 13. Kwa miaka mitatu mfululizo, Moshi William alitunukiwa tuzo ya kitaifa ya utunzi bora (2003, 2004, 2005.)
 
Moshi William alijiunga na bendi kongwe nchini Tanzania [[OTTUJuwata Jazz Band]] mwaka 1982 akitokea Bendi ya Polisi.
 
{{DEFAULTSORT:Moshi William}}