Usiku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 97 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q575 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Earthlights dmsp.jpg|right|thumb|350px|DiuniaDunia wa katiwakati wa usiku; picha hii imeunganishwa kutokana na picha mbalimbali zilizopigwa na chomboanga. Hali halisi hakuna wakati ambako eneo lote linaloonekana liko gizani wakati mmoja. Nukta nyeupe upande wa kulia ni nuru ya miji wakati wa giza]]
{{unsourced|date=Januari 2010}}
[[Picha:Earthlights dmsp.jpg|right|thumb|350px|Diunia wa kati wa usiku; picha hii imeunganishwa kutokana na picha mbalimbali zilizopigwa na chomboanga. Hali halisi hakuna wakati ambako eneo lote linaloonekana liko gizani wakati mmoja. Nukta nyeupe upande wa kulia ni nuru ya miji wakati wa giza]]
 
'''Usiku''' ni kipindi cha [[siku]] kilichopo kati ya [[machweo]] na [[macheo]] na hasahasa kipindi cha giza kinachotokea baada ya macheomachweo ambako [[mwanga]] wa [[jua]] hauonekani tena angani[[anga]]ni hadi muda mfupi kabla ya machweomacheo yaani kabla ya jua kuonekana juu ya upeo wa anga. Kinyume chake ni [[mchana]].
 
Kinyume chake ni [[mchana]].
Kutokana na kupotea kupotea kwa nuru ya jua nyota zinaonekana usiku (pasipo na mawingu). Watu wengi hulala usiku pamoja na wanyama wengi lakini kuna wanyama wengine wanafanya shughuli zao kwenye usiku kama vile [[bundi]], [[popo]] na wadudu wengi.
 
Kutokana na kupoteapotea kwa [[nuru]] ya jua, [[nyota]] zinaonekana usiku (pasipo na ma[[wingu]]).
 
Kutokana na kupotea kupotea kwa nuru ya jua nyota zinaonekana usiku (pasipo na mawingu). Watu wengi hulala usiku pamoja na [[wanyama]] wengi, lakini kuna wanyama wengine wanafanyawanaofanya [[shughuli]] zao kwenye usiku kama vile [[bundi]], [[popo]] na [[wadudu]] wengi.
 
== Nyakati za usiku ==
Nyakati za chanzomwanzo na mwisho wa usiku hutofautiana kati ya [[mahali]] dunianina mahali [[dunia]]ni. [[Mstari]] unaofikiwa na mwanga wa jua unatembea juu ya [[uso wa dunia]] kutokana na [[mzunguko]] wa dunia kwenye [[mhimili]] wake.

[[Mwendo]] huu nindio [[sababu]] ya kugawiwa kwa uso wa dunia katika [[kanda muda]].
 
Karibu na [[ikweta]] muda wa usiku ni masaama[[saa]] 12 sawa na muda wa mchana, lakini penginepo duniani, kadiri palipo mbali yana ikweta kuelekea [[kaskazini]] au [[kusini]], muda wa usiku hubadilika kila siku.
 
Usiku mrefu kabisa hutokea kwenye [[ncha za dunia]] ambako wala jua wala [[utusitusi]] hazionekanihavionekani angani kwa muda wa karibu miezi 3.
 
== [[Utamaduni]] ==
Katika tamaduni za binadamu usiku mara nyingi inauna maana mbaya kutokana na matatizoma[[tatizo]] ya kuonakutoona vema na [[hofu]] ya vitu visivyoonekana katika kipindi hikihicho.
 
{{Siku}}
{{Wiktionary}}
 
[[Jamii:Parts of a dayWakati]]