Siku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 150 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q573 (translate me)
Mstari 14:
== Siku na mwaka ==
Dunia pamoja na kujizungusha kwenye mhimili wake pia inafanya mwendo mwingine, yaani ule wa kulizunguka jua. Ikikamilisha mwendo huu basi [[mwaka]] unakuwa umekamilika. Kipindi cha mwaka hakilingani kwa kila mwaka, kuna miaka mirefu na miaka mifupi. Hii ni kwa mujibu wa [[Kalenda ya Gregori]] ambapo mwaka wa kawaida (mfupi) huwa na siku 365 na kila mwaka wa nne (mwaka mrefu) kuwa na siku 366.
 
<!-- interwiki -->
{{siku}}
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Wakati]]