Tofauti kati ya marekesbisho "Jioni"

30 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
[[Image:Sunset in Coquitlam.jpg|thumb|right|Kutwa huko [[Coquitlam]], [[British Columbia]], [[Canada]].]]
'''Jioni''' (yaani "kwenye jio" la usiku) ni kipindi cha [[siku]] ambacho [[mwanga]] wa [[mchana]] unazidi kupungua hata kuingia kwa giza la [[usiku]].
 
Kwa [[binadamu]] na [[wanyama]] wengi ndio [[wakati]] wa kuacha [[shughuli]] mbalimbali na kujiandaa kwa [[usingizi]], ingawa uenezi wa [[taa]] umebadilisha sana [[ratiba]] ya watu wengi.