Yohane Mbatizaji : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d →Viungo vya nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ru}} using AWB (10903) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
ậ[[Picha:Folio 109v - The Baptism of Christ.jpg|thumb|200px|Yohane
'''Yohane Mbatizaji''' (
Kufuatana na [[Injili ya Luka]] 1-2 Yohane na Yesu walikuwa [[ndugu]] na [[mama]] zao walikuwa [[mja mzito|wazito]] kwa wakati mmoja.
Habari zake zinapatikana katika [[Biblia ya Kikristo]] na pia kwa [[vitabu]] vya [[Yosefu mwanahistoria]].
Anaheshimiwa na [[Wakristo]] na [[Waislamu]] kama [[mtakatifu]]. Pengine [[sikukuu]] yake muhimu zaidi ni ile ya kuzaliwa (inayoadhimishwa na [[Kanisa la magharibi]] tarehe [[24 Juni]]), lakini ipo pia sikukuu ya [[kifodini]] chake. == Utoto ==
Kadiri ya [[Injili]] ya [[Luka mwinjili|Luka]] alizaliwa
Bado
[[Wataalamu]] mbalimbali wanadhani alikuwa akiishi kati ya [[Waeseni]], wafuasi wa [[madhehebu]] ya Kiyahudi yenye [[itikadi kali|msimamo mkali]] hata kuliko ule wa [[Mafarisayo]].
== Mhubiri katika jangwa ==
Yohane alikuwa [[mhubiri]] aliyewaonya kwa [[ukali]] wasikilizaji wake na kudai wajiandae kwa [[hukumu]] ya [[Mungu]].
Akawakaribisha wapate [[ubatizo]] wa [[maji]] kama [[alama]] ya
[[Injili ya Mathayo]] katika [[sura]] ya 3
[[Ubatizo wa Bwana|Alimbatiza pia Yesu]] ambaye naye baadaye akaanza kuhubiri.
Hivyo katika Injili Yohane anatazamwa kama [[mtangulizi]]
== Kifo cha Yohane ==
Yohane katika mahubiri yake alipinga
Kufuatana na [[Injili ya Marko]] sura ya 6 aliuawa alivyotaka [[Herodia]] mke wa mfalme, akakatwa [[kichwa]] kilichopelekwa katika [[sinia]] au [[bakuli]] mbele ya mfalme na [[wageni]] wake wakiwa wanasherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa.
== Wafuasi wa Yohane ==
Line 38 ⟶ 42:
Yohane alikuwa pia na kundi la wafuasi walioendelea kama ushirika baada ya kifo chake.
[[Dini]] ya [[Wamandei]] inadai kuwa imetokana na ushirika huo na katika [[Kurani]] wanaitwa "sabiyuna" au wabatizaji.
== Yahya katika Kurani ==
Yohane anatajwa kwa [[heshima]] katika Kurani pia, kwa [[jina]] la [[nabii]] Yahya (يحيى بن زكريا ''Yahya ibn Zakariya'').
[[Picha:St johns head.jpg|thumb|Kichwa kimojawapo kinachosemekana ni cha Yohane
== Fuvu la kichwa ==
Kichwa cha Yohane kiliaminiwa
Kuna vichwa mbalimbali vilivyotajwa kuwa kichwa cha Yohane.
[[Kaburi]] moja la kichwa kipo mjini [[Dameski]] kilipokuwa ndani ya [[kanisa kuu]], na baada ya Waislamu kubomoa kanisa kaburi lilitunzwa na liko sasa ndani ya [[msikiti wa Umawiya]].
Kichwa kingine
Kuna pia [[mikono]] ya Yohane inayoonyeshwa mahali mbalimbali.
== Marejeo ==
|