Aleksander Mashuhuri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 72:
Mkutano wa kwanza wa Aleksander na jeshi la Uajemi ulitokea kwenye [[Mapigano ya Granikos]]<ref>Leo: mto Biga , mapigano yalitokea karibu na mji wa Biga katika Uturuki ya leo upande kusini wa [[Bahari ya Marmara]].</ref>. Viongozi Waajemi walipanga jeshi lao vibaya wakapigwa na Wamasedonia.
 
Alesander aliendelea kupita kwenye miji ya pwani iliyokaliwa na Wagiriki na kumfungulia milango yao. Kwa njia hii alitaka kuondoa nafasi ya bandari kwa meli za nevi ya Waajemi waliokuwazilizokuwa hatari kwa Ugiriki. AlesanderAleksander aliteua viongozi wenyeji kama maliwali wake katika majimbo ya Asia Ndogo na hivyo kuimarisha utawala wake.
 
Baada ya kumaliza miji ya pwani akaingingia ndani ya Asia Ndogo hadi Frygia. Hapa katika mji mkuu wa kale wa Gordion alikata fundo mashihuri wa Gordion. Kwenye ikulu ya kale mjini Gordion ilitunzwa gari la farasi la kale sana. Lilifungwa kwa kamba zilizopigwa fundo imara kupita kiasa. Ilisemekana kuna utabiri kuwa kama mtu angeweza uondoa fundo hili atakuwa mtawala juu ya Asia. Kutokana na hekaya ya kale Aleksander alitazama fundo akaiona gumu akatoa upanga wake na kuikata.
 
Kuelekea mwisho wa mwaka 333 Aleksander alipokwa habari kuwa mfalme wa Uajemi alikaribia Asia Ndogo kwa jeshi kubwa. Aleksander alipiga mbio kukutana naye. Kwenye [[mapigano ya Granikos]] mnamno [[5 Novemba 333]] majeshi ya Waajemi na Wagiriki yalikutana, tena ushindi ulikuwa upande wa Aleksander. Mfalme Dareios aliweza kukimbia kwa muda.
 
== Mitazamo juu yake ==