Mageuko ya spishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ar}} (12) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tree of life.svg|thumb|right|250px|''Mti wa uhai'' huonyesha mabadiliko wa spishi tangu mwanzo wa uhai]]
'''Mageuko ya spishi''' ni [[nadharia]] ya ki[[sayansi]] iliyobuniwa na kutumiwa na wataalamu wa [[biolojia]]. Inasema ya kwamba [[spishi]] za [[viumbehai]] zilizopo duniani leo zimetokana na spishi zilizokuwa tofauti za zamani. Nadharia hii inategemea ya kwamba awali maisha yote yametokana na maumbo asilia. Katika wazo hili spishi zote jinsi zilivyo sasa zinaendelea kubadilika.
'''Mageuko ya spishi''' ni [[nadharia]] ya ki[[sayansi]] iliyobuniwa na kutumiwa na wataalamu wa [[biolojia]], hasa [[tawi]] la [[jenetikia]].
 
Inasema ya kwamba [[spishi]] za [[viumbehai]] zilizopo [[dunia]]ni leo zimetokana na spishi zilizokuwa tofauti za zamani.
Msingi wa nadharia hii ni mabaki ya [[kisukuku]] ya viumbehai ambao hawapo tena duniani lakini wanaofanana kiasi na viumbehai wa leo, pamoja na ulinganifu wa spishi za karibu na mbali zaidi. Nadharia ya mageuko ya spishi inalenga kueleza mabadiliko haya.
 
Nadharia hii inategemea [[hoja]] ya kwamba awali [[uhai]] wote ulitokana na ma[[umbo asilia]].
Mtaalamu Mwingereza [[Charles Darwin]] anajulikana kama mfumbuzi wa nadharia hii.
 
Katika [[wazo]] hili spishi zote jinsi zilivyo sasa zinaendelea kubadilika.
Leo hii ni nadharia ya kibiolojia inayokubaliwa na wataalamu wengi hata kama kuna wapinzani kadhaa hasa upande wa wenye [[imani kali]] ya [[dini]], lakini pia wachache kwa sababu za kitaalamu.
 
Msingi wa nadharia hii ni mabaki ya [[kisukuku]] ya viumbehai ambao hawapo tena duniani lakini wanaofananawanafanana kiasi na viumbehai wa leo, pamoja na [[ulinganifu]] wa spishi za karibu na za mbali zaidi. Nadharia ya mageuko ya spishi inalenga kueleza mabadiliko hayahayo.
[[Picha:Tree of life.svg|thumb|right|250px|''Mti wa uhai'' huonyesha mabadiliko wa spishi tangu mwanzo wa uhai]]
 
Mtaalamu [[Mwingereza]] [[Charles Darwin]] anajulikana kama mfumbuzi[[mvumbuzi]] wa nadharia hii.
 
Leo hii nindiyo nadharia ya kibiolojia inayokubaliwa na wataalamu wengi hata kama kuna wapinzani kadhaa, hasa upande wa wenye [[imani kali]] ya [[dini]], lakini pia wachache kwa sababu za kitaalamu.
 
== Marejeo ==
{{reflist|2}}
 
== Viungo vya Njenje ==
{{commonscat|Evolution|Mageuko ya spishi}}
{{wiktionary}}
Line 24 ⟶ 29:
 
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Jenetikia]]